Search

102 results for Happy Lazaro :

 1. Mwenyekiti Wazazi CCM aahidi kupandisha viwango

  Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Fadhili Maganya amesema kuwa atahakikisha anaipandisha viwango jumuiya hiyo na kulinda kauli zake kwa matendo.

 2. TGDC kuanza kuzalisha umeme wa Jotoardhi kuukabili mgawo

  Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC) imeanza utekelezaji wa miradi mitano ya kipaumbele ya rasilimali jotoardhi ambayo itapatikana katika mikoa zaidi ya 16 nchini.

 3. Majaji watakiwa kutafuta suluhu migogoro ya wahamiaji

  Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Jaji Imani Aboud amekitaka chama cha majaji wanaoshughulikia masuala ya wakimbizi na wahamiaji Afrika kutafakari na kutafuta suluhu ya...

 4. Wataalamu wa fedha nchini waaswa kuwa waadilifu

  Wataalamu wa Fedha na Mahesabu nchini wameaswa kuwa waadilifu wanapotekeleza majukumu yao na kuwa washauri wazuri kwa jamii katika kufafanua dira ya maendeleo ya uchumi nchini.

 5. Mume asimulia mkewe, mtoto walivyonusurika kifo

  Levina Rutinda na mtoto wake, Emil Mwesigwa ni kati ya abiria 24 waliookolewa kwenye ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba Novemba 6, mwaka huu.

 6. Mamia wamuaga aliyefariki ajali ya ndege

  Aneth Kaaya mmoja watu 19 waliofariki katika ajali ya ndege ya shirika la Precision Air iliyotokea Novemba 6 Bukoba mkoani Kagera, amezikwa wilayani Arumeru mkoani Arusha na mamia ya waombolezaji.

 7. EAC wakutana kujadili changamoto huduma za posta

  Wadau wa Mashirika ya Posta kutoka nchi za EAC wakutana na kujadili namna ya kurahisisha utoaji huduma hizo.

 8. Nape ataka mashirika ya Posta Tanzania na Kenya kufanya biashara kidigitali

  Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameyataka mashirika ya Posta Tanzania na Kenya kuhakikisha wanafanya biashara ya usafirishaji kwa njia ya kidigitali zenye...

 9. Asasi za kiraia nchini zaiomba serikali kutunga sheria ya kudhibiti ukatili

  Asasi za kiraia nchini zimeiomba Serikali kuchukulia matukio ya ukatili dhidi ya mwenza yanayoendelea hivi sasa, kama jambo la dharura na kuitungia sheria ya ukatili majumbani ili kukomesha...

 10. Azaki zatakiwa kuendana na mabadiliko ya teknolojia

  Asasi za kiraia nchini zatakiwa kusaidia watu kubadilika na kuendana na mabadiliko ya teknolojia.

Page 1 of 11

Next