Majaliwa ataka jamii za kifugaji kutotumikisha watoto Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezitaka jamii za kifugaji kuhakikisha zinawapeleka watoto shule na kuacha tabia ya kuwatumikisha kuchunga mifugo.
PRIME Maji safi saa 24 bado kitendawili, wananchi wapaza sauti Kwa wastani kiwango cha upotevu maji katika mwaka wa fedha 2023/24 kilikuwa asilimia 36.8 sawa na Sh114.12 bilioni.
PRIME Ngoma nzito jimboni kwa Dk Mollel, ashangaa kulimwa barua CCM Mbunge wa Siha (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel amedai kuandikiwa barua na kamati ya nidhamu ya CCM Wilaya ya Siha kwa kosa alilodai kuwa ni kuwafukuza wezi waliojaribu...
Katibu wa CCM Rombo afariki dunia akipatiwa matibabu Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Marry Sule amefariki dunia jana usiku Machi 18, 2025 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Huruma.
Masaibu ya wanawake wenye vitambi Kuvunjika kwa uhusiano, kujichukia kwa kukosa mwonekano mzuri ni baadhi ya mambo wanayokumbana nayo wanawake wenye vitambi, huku takwimu zikionesha kuwapo kwa idadi kubwa ya wanawake wenye hali...
PRIME Miaka 4 ya Magufuli: Askofu Niwemugizi, Rais Samia, familia watoa kauli Viongozi mbalimbali wa Serikali, siasa, na kiroho wamezungumzia maisha ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, hayati John Joseph Magufuli, akiwemo Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la...
Mwanafunzi wa darasa la kwanza auawa kwa kuchinjwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mwanamume (26), mkazi wa kijiji cha Kirwa, kata ya Katangara Mrere, Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kumuua na kumtenganisha...
PRIME Ilivyohitimishwa safari ya Naomi Kilimanjaro, gumzo miaka mitano Naomi aliuawa na mumewe, Hamis Luwongo, kisha akauchoma mwili kwa kutumia magunia mawili ya mkaa ndani ya banda la kuku.
Rombo waanza kuzalisha unga wa ndizi Wakulima wa ndizi, Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wamebuni mbinu mpya ya kujipatia kipato baada ya kuanza kuchakata ndizi na kupata unga wa uji na mtori.
Presha, sukari, moyo vilivyoondoa uhai wa mbunge wa kwanza Moshi Wakati mamia ya waombolezaji wakifurika kwenye maziko ya aliyekuwa mbunge wa kwanza wa CCM Moshi mjini, Mkoa wa Kilimanjaro, John Mwanga (78), familia imeeleza kuwa baba yao alikuwa...