Bei ya petroli, dizeli yashuka Zanzibar Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura), imetangaza bei mpya za mafuta huku inyosha kushuka kwa bidhaa hiyo ambapo wakati dizeli imeshuka kwa asilimia tatu, petroli...
Rais Mwinyi atoa pole kwa familia kifo cha Raza Rasi wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi ametoa salamu za pole kwa familia jamaa na ndugu kufuatia kifo cha mfanyabiashara na mwanasiasa maarufu visiwani Zanzibar, Mohmed Raza.
Rais Mwinyi atoa pole kwa familia kifo cha Raza Rasi wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametoa salamu za pole kwa familia jamaa na ndugu kufuatia kifo cha mfanyabiashara na mwanasiasa maarufu visiwani Zanzibar, Mohmed Raza.
Mfanyabiashara Mohamed Raza afariki dunia Mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar na Mwanasiasa aliyewahi kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini, Mkoa wa Kusini Unguja, Mohamed Raza amefariki dunia leo Juni 8, 2023 Saa tano asubuhi katika Hospital...
CAG: Awajibu wawakilishi waliomtaka aombe radhi Sakata la Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar la kumtaka Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Dk Othman Abbas Ali kuwaomba radhi limeibuka kivingine, baada ya Dk Ali kuibuka...
Othman: Takwimu za sensa zitumike katika mipango ya maendeleo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amesema iwapo taarifa za sensa zikitumika vyema zitaleta tija katika kuratibu na kusimamia utekelzaji wa mipango ya maendeleo nchini.
Wajumbe Baraza la Wawakilishi wataka CAG awaombe radhi Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameomba mwongozo wakitaka Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kuomba radhi chombo hicho kwa kauli yake aliyoitoa mbele ya Rais wa Zanzibar...
Rais Mwinyi awaonya ‘wanaoitukana’ CCM Fukuto ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) upande wa Zanzibar limezidi kufukuta baada ya makamu mwenyekiti wa chama hicho visiwani humo, Rais Hussein Ali Mwinyi kuagiza viongozi wa chama hicho...
CCM yajipanga kulipa posho mabalozi wa mashina Zanzibar Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema umefika wakati chama hicho kuwalipa posho mabalazi wa mashina.
Balozi Karume aikoroga CCM Vuguvugu la mpasuko ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar, linafukuta kutokana na kauli za mwanachama wake mashuhuri, Balozi Ali Abeid Karume kuwa mwiba kwa watawala na chama chake.