VIDEO: Mbuzi aliyechunwa, kuvishwa sanda azua taharuki Tabora
Katika hali isiyo ya kawaida, wakazi wa Mtaa wa Bombamzinga, Kata ya Isevya, Manispaa ya Tabora, wamejikuta katika taharuki baada ya kugundua mbuzi aliyekuwa amechunwa ngozi, kuvishwa sanda na...