Search

44 results for Julius Mnganga :

  1. Mhariri Mwananchi: Mkakati unahitajika kukabili mfumko wa bei

    Mhariri wa Uchumi wa Gazeti la Mwananchi, Julius Mnganga amesema kunahitaji mkakati wa kitaifa wa kukabiliana na mfumko wa bei za vyakula unaotikisa katika maeneo mbalimbali nchini.

  2. Rushwa ni kilio uombaji zabuni

    Wakati Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) ikimpongeza Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na mamlaka za usimamizi kwa kuboresha mazingira ya biashara nchini, Serikali imewaonya wafanyabiashara...

  3. Tozo za miamala, mikopo ya wanafunzi ilivyotokisa bajeti

    Ukiacha moto aliouwasha Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina alipohoji kwa nini kesi 1,097 za kodi zenye thamani ya Sh360 trilioni na dola 181.4 milioni za Marekani hazijaamuriwa hadi Septemba 2022...

  4. Mwasi Mboya alivyoikwaa PhD akiwa na miaka 27

    Baada ya wazazi wake kumlipia kuanzia Shule ya msingi Mount Kibo jijini Dar es Salaam kisha Sekondari ya Pangahill mkoani Mbeya na Sekondari ya Wasichana Mariani iliyopo Bagamoyo, ilikuwa...

  5. Balozi akata mzizi wa fitina ujenzi bomba la mafuta

    Wiki mbili tangu Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) litoe tamko la kupinga ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda mpaka Tanga (EACOP), Balozi wa umoja huo nchini, Manfredo Fanti amesema bunge hilo...

  6. Ukuzaji broila kwa dawa unavyotishia afya za walaji

    Kutokana na athari zake kwa afya ya binadamu, mazingira na mifugo yenyewe, wataalamu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas) pamoja na Shirika la Viwango Tanzania (TBS)...

  7. Tozo za moto

    Wakati wananchi wakilalamika kuanzishwa kwa tozo ya miamala ya kielektroniki katika akaunti za benki, mbunge wa Babati Vijijini na mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge, Daniel Sillo amesema...

  8. Wasomi: Tozo mpya ya benki ni batili, ifutwe

    Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa tathmini ya athari zake kwenye uchumi kuanzia kwa watu wa chini, hivyo inakwenda...

  9. ‘Serikali itunge sheria rafiki sekta ya habari’

    Baadhi ya waandishi wa habari wameiomba Serikali itunge sheria ‘rafiki’ zitakazowezesha sekta ya habari kukua na kuongeza ajira zaidi.

  10. Utouh: Hapa kuna ufisadi

    Wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizunguka katika maeneo mbalimbali nchini na kuanza kuwachukulia hatua baadhi ya watendaji waliotajwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

Page 1 of 5

Next