Utitiri wa tozo watajwa kikwazo kuvusha bidhaa Zanzibar kwenda Bara Wingi wa tozo, ushuru na kodi katika mchakato wa kuvusha bidhaa kutoka Zanzibar kuingia Tanzania Bara, umetajwa kuwa kikwazo cha maendeleo ya viwanda visiwani humo.
Chadema yaendelea kujifungia, maazimio kutolewa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema bado kinaendelea na vikao vyake vya kamati kuu kikijadili hali ya siasa nchini nchini operesheni za chama na kamati maalum ya chama Zanzibar.
TPA yatoa zabuni ujenzi wa bandari mbili Zabuni hizo, zinatangazwa kipindi ambacho kumekuwa na hoja kutoka kwa watu mbalimbali juu ya bandari zote nchini kukabidhiwa kwa kampuni ya Dubai ya DP World baada ya Tanzania na Dubai kuingia...
Watumishi saba wa Serikali kuchukuliwa hatua Kulingana na barua hiyo iliyotolewa leo, watumishi watakaochukuliwa hatua hizo ni Sisty Nyau (Kaimu Mhandisi wa Wilaya), Damas Mumwi (Mkuu wa Idara ya Kilimo na Ushirika) na Vinsent Moyo (Mkuu wa...
Serikali kulibeba sakata la wakulima, wafugaji Nachingwea Rais Samia Suluhu Hassan amesema migogoro ya wakulima na wafugaji na athari za wanyama waharibifu wilayani Nachingwea ni miongoni mwa mambo yatakayoshughulikiwa na Serikali Kuu.
Kanisa kuu mbadala wa St Joseph kujengwa Gezaulole Kanisa katoliki jimbo kuu la Dar es Salaam linatarajia kujenga kanisa kuu mbadala litakaloendana na ongezeko kubwa la idadi ya Wakristo katika jimbo hilo sambamba na kutumika kwa shughuli...
Samia: Msiozeshe watoto, wapelekeni shule Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi wilayani Liwale katika Mkoa wa Mtwara, kuacha tabia ya kuwaozesha watoto wa kike badala ya kuwapeleka shuleni.
PRIME Majaliwa awapigia debe wazawa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura), kuwapa zabuni wahandisi wazawa katika miradi ya ujenzi wa barabara ili kuongeza ufanisi wao.
Lipumba achokonoa dosari katika maridhiano Pamoja na maelekezo mazuri ya Serikali kuhusu maridhiano, Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kumekosekana mipango thabiti ya kuyaweka katika...