TEC yataka kinga kwa viongozi wote ifutwe Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeshauri kuondolewa kinga ya kushtakiwa kwa viongozi wa Serikali ili kutoa haki sawa kwa Watanzania wote chini ya Katiba na matakwa ya Mwenyezi Mungu...
Tanzania kupeleka misaada Malawi, Balozi Polepole asema Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limepeleka msaada wa chakula na vifaa vya kujihifadhi na kujiokoa raia katika changamoto ya kimbunga Freddy nchini Malawi.
BoT yaziwekea Saccos mtego Kama wewe ni mwanachama wa Saccos, unafahamu ni kwa kiwango gani michango ya fedha zako iko salama?
Idadi ya bia kunywa kwa siku yawa gumzo Kauli ya watalaamu wa afya kuhusu kiwango cha bia kinachoshauriwa kutumiwa na mtu kwa siku, imezidi kuibua maoni tofauti, safari hii wachambuzi wakijikita katika ujazo wa chupa, wingi wa kileo...
Mikoa iliyo hatarini kwa tetemeko Mikoa 11 inayopitiwa na ukanda wa Bonde la Ufa la Afrika Mashariki imetakiwa kuhakikisha inazingatia viwango halisi vya ujenzi vinavyojumuisha ushauri wa kitaalamu wa jiolojia ya eneo husika, na...
Bodaboda watofautiana kauli na Lema Wakizunguza jana kwa nyakati tofauti kuhusu kauli ya Lema, baadhi walisema kazi hiyo imewasaidia kuendesha maisha yao huku wengine wakisema wamekimbilia shughuli hiyo kwa kukosa ajira.
Mbowe amtahadharisha Rais wanaojiita ‘chawa wake’ Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe amesema amechagua kusema ukweli na kukataa dhambi ya unafiki, huku akisisitiza Rais Samia Suluhu Hassan kuwa makini na watu wanaojiita chawa wake.
Rais Samia atoa maagizo 8 kwa wateule wake Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wateule wake kuzingatia maeneo manane ya msingi, ikiwamo kujiamini katika utekelezaji wa majukumu yao.
‘Chini ya miaka mitatu atumikie kifungo cha nje’ Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Mmuya, amependekeza wafungwa chini ya miaka mitatu watumikie kifungo cha nje.
Wataka sheria ya ubakaji kwa wanandoa Mjadala wa mume kumbaka mkewe jana ulikuwa ni miongoni mwa hoja za wanaharakati wa masuala ya kijinsia baada ya kushauri marekebisho ya Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, sura ya 20 ili...