Search

324 results for Lilian Lucas :

  1. Mmoja afariki mafuriko Kilosa

    Kwa mujibu wa DC Shaka, kifo cha mwanamume huyo kimetokea kati ya saa 11 na 12 asubuhi, na mwili wake umepatikana.

  2. Kituo cha umeme Ifakara kumaliza kero ya wananchi

    Tatizo la katikakatika kwa Umeme lililokuwa likizikabili wilaya za Kilombero, Ulanga na Malinyi na kuwatesa wawekezaji na wananchi kushindwa kufanya maendeleo, limepata ufumbuzi, baada ya...

  3. Utafiti wa viashiria vya Ukimwi waleta matumaini

    Matumaini yanazidi kuongezeka baada ya utafiti wa viashiria vya ukimwi kubaini kiwango cha kufubaza Virusi Vya Ukimwi (VVU), kinaendelea kukua kwa wastani wa asilimia 78 kutoka asilimia 52 mwaka...

  4. Mwitikio mdogo vijana kupima VVU

    Kasi ndogo ya upatikanaji elimu juu ya upimaji virusi vya Ukimwi kwa vijana, inatajwa kuwa sababu ya mwitikio mdogo wa vijana kujua afya zao, hivyo kuhatarika juhudi za nchi kutokomeza maradhi...

  5. Morogoro watakiwa kulinda miundombinu ya umeme

    Naibu Wizara wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi katika kijiji cha Maseyu Wilaya ya Morogoro kuendelea kulinda miundombinu ya umeme inayojengwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ili...

  6. Anayedaiwa kuua mama na mtoto wake akamatwa

    Polisi mkoani Morogoro imemkamata Seleman Mabula Sita (25), mkazi wa Seke mkoani Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya mama na mtoto ake kwa kuwakata vichwa na kutenganisha na viwiwili.

  7. Mama, mwanaye wauawa kwa kukatwa vichwa

    Mtuhumiwa wa mauaji hayo ni kijana aliyeletwa na rafiki wa mume wa marehemu, na baada ya kutekeleza mauaji hayo alitokomea kusikojulikana na vichwa vya marehemu hao.

  8. Aliyefia Israel atunukiwa shahada SUA

    Jina la Clemence Mtenga, aliyefariki dunia nchini Israel, limetajwa kuwa miongoni mwa wahitimu katika mahafali ya 42 ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA).

  9. Tanzania yatajwa maambukizi ya TB duniani

    Kila mwaka, Tanzania inakadiriwa kuwa watu 130, 000 ambao wanasumbuliwa na ugonjwa Kifua Kikuu (TB), huku wakiwa hawajui, ama hawajaanza matibabu na hivyo kuifanya Tanzania kuwa moja ya nchi 30...

  10. Tehama kutumika ukusanywaji takwimu sekta ya afya

    Wizara ya Afya imewataka Waratibu wa Mfumo wa Takwimu na Taarifa za Uendeshaji wa Huduma za Afya nchini (HMIS), kuhakikisha ukusanyaji wa takwimu kielektroniki unafika kwenye zahanati, vituo vya...

Page 1 of 33

Next