Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

42 results for Mariam Ahmed :

  1. Vijana 200 Tanzania, Burundi kulipiwa mahari kupitia Al-Hikma

    Taasisi ya dini ya Kiislamu ya Al-Hikma Foundation imetangaza kuwalipia mahari vijana 200 kutoka nchi za Tanzania na Burundi ambao wapo tayari kuoa.

  2. PRIME Sababu kupungua kwa miamala ya simu, athari zake

    Katika kipindi cha mwaka 2024 Sekta ya mawasiliano nchini ilishuhudia ukuaji katika nyanja tofauti, isipokuwa idadi ya miamala ya simu ambayo ni kiashiria cha namna watu walivyotuma na kupokea...

  3. Masheha sasa kuhudumia wananchi kidijitali

    Masheha kisiwani hapa wameanza kutumia mfumo wa kidijitali kutoa huduma kwa wananchi kwa ufanisi zaidi na kwa haraka. Mfumo huu, unaojulikana kama eDUA, ni lango kuu la utoaji wa huduma za...

  4. Tani 14 za shaba zawatia matatani watuhumiwa 15

    Kati ya wanaotuhumiwa kufanya vitendo hivyo, wamo mafundi walioshiriki ujenzi wa miundombinu ya SGR, fundi umeme na wafanyabishara wanaojishughulisha na uuzaji na ununuzi wa chuma chakavu.

  5. PRIME Yanayochangia kuharibu valvu za moyo kwa mtoto

    Valvu huhakikisha damu inaenda kwa wakati na kwa mwelekeo sahihi, zinapofunguka na kufunga, hutengeneza sauti ambazo ndiyo mapigo ya moyo.

  6. Namibia kuongozwa na mwanamke?

    Windhoek. Chama tawala cha Namibia, Swapo, kinaendelea kuongoza katika kura zinazoendelea kuhesabiwa kufuatia uchaguzi wa urais na Bunge uliofanyika Jumatano iliyopita Novemba 27. Mgombea...

  7. Yas yataja sababu kubadili jina, vipaumbele

    Yas (zamani Tigo) inamilikiwa na kampuni ya Honora Tanzania Public Limited ambayo ni sehemu ya kampuni mama ya Axian Telecom Group.

  8. Tahadhari yatolewa matumizi ya dawa kuepuka usugu

    Wakati ugonjwa wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa (Uvida) ukitabiriwa kuongoza kwa vifo duniani ifikapo mwaka 2050, Watanzania wametahadharishwa kuacha mienendo isiyofaa ya matumizi ya dawa holela...

  9. Teknolojia ilivyosaidia kupunguza vifo vya mama na mtoto

    Mifumo ya kidijitali kupitia mradi wa Afya-Tek imepunguza vifo vya mama na mtoto Kibaha, kuboresha rufaa za afya, elimu kwa vijana, na uratibu wa huduma bora kwa njia ya kidijitali.

  10. Janga la usomaji wa zimamoto vyuoni

    Unaposikia ‘zimamoto’ tafsiri inayoweza kuja haraka kichwani mwako ni kitendo cha kutumia maji, mchanga au vifaa maalum kuzima moto.

Page 1 of 5

Next