Search

30 results for Maryasumta Eusebi :

 1. 11 mbaroni wakituhumiwa kutuma ujumbe ‘tuma ile pesa kwa namba hii’

  Watu 11, mbaroni Kwa tuhuma za utapeli kwa njia ya mtandao,Ni wale wanaotuma ujumbe mfupi wa 'Ile pesa tuma Kwa namba hii'

 2. Mawakala wa gesi watakiwa kujiepusha biashara holela

  Mawakala wa biashara ya gesi wametakiwa kuwa na mikataba na wasambazaji wakubwa kudhibiti ujazaji holela wa mitungi ya bidhaa hiyo.

 3. Auwa akijaribu kupora pikipiki

  Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limethibitisha kuuawa kwa mtu anayedhaniwa kuwa jambazi alipojaribu kupora pikipiki akitumia silaha aina ya bastola.

 4. Kesi ya Sabaya yakwama, kisa vibali vya DPP bado

  Upande wa mashitaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya,umesema kuwa utawasilisha vibali kutoka kwa mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), ili...

 5. Padri soka mgonjwa, kesi yaahirishwa

  Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi na Mahakama ya Wilaya Moshi zimeahirisha kesi za ubakaji zinazomkabili Padri Sostenes Soka wa Kanisa Katoliki Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita hadi...

 6. Kesi ya Padri Soka yaiva, mashahidi 10 kuitwa

  Wakati upande wa mashtaka katika kesi ya ubakaji wa mtoto wa miaka 12 inayomkabili Padri Sostenes Bahati (41) wa Kanisa Katoliji Jimbo la Moshi ukisema utaleta mashahidi 10, upande wa utetezi...

 7. Polisi kujengewa uwezo upelelezi makosa ya uwindaji haramu

  Kutoka kubadilika kwa mbinu za uharamia wa wanyamapori, Jeshi la Polisi limesema litaanzisha mtaala maalumu utakaohusu upelelezi na uendeshaji wa mashtaka ya kesi zinazohusiana na uwindaji haramu...

 8. Mahakama yaelezwa jinsi Padri Soka alivyodaiwa kubaka mtoto

  Padri Soka anashitakiwa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 12 aliyekuwa akishiriki mafundisho ya kipaimara kanisani.

 9. Padri soka asomewa maelezo ya awali

  Sostenes Bahati Soka, Padri wa Kanisa Katoliki, Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita, Jimbo la Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro leo Octoba 10,2022 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

 10. Sabaya mahakamani tena akiwa peke yake

  Sabaya anakabiliwa kesi namba mbili ya uhujumu uchumi ya mwaka 2022, huku wenzake alioshitakiwa nao wakiwa wameachiliwa huru baada ya kukiri kosa na kuachiliwa huru Septemba 6 mwaka huu.

Page 1 of 3

Next