PRIME CCM, Chadema, Chaumma ni mwendo wa kufuta nyayo Vyama hivyo vya Chaumma, Chadema na CCM, vinaendelea za ziara zao zenye malengo tofauti kwa kukutana na wananchi, kuzungumza nao na kueleza ajenda zao wakati Taifa likielekea kwenye uchaguzi mkuu...
Vijana wabunifu wapigwa msasa Mafunzo hayo yaliyofanyika leo Alhamisi, Mei 22, 2025, jijini Dar es Salaam, yamelenga kuwawezesha vijana kulinda mawazo yao ya ubunifu dhidi ya wizi wa kitaaluma, kuimarisha alama za biashara na...
Rais Stubb apigia chapuo ubunifu Rais wa Finland, Alexander Stubb, ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kurejea upya dhana ya ubunifu, akisisitiza kuwa ubunifu haupaswi kuangaliwa kama suala la kiteknolojia pekee bali kama...
Wawili wafukuzwa Skauti kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha Chama cha Skauti Tanzania kimewafuta uanachama wakufunzi wake wawili, Faustine Magige na Festo Mazengo, kwa tuhuma za kukiuka katiba na sera za chama hicho, ikiwemo ubadhirifu wa fedha...
Ujenzi ghorofa la vyumba 101 watumishi Dar wafika hapa Katika juhudi za kuboresha mazingira ya kazi na maisha ya watumishi wa umma, ujenzi wa jengo la makazi lenye vyumba 101 umeanza jijini Dar es Salaam, likiwa ni sehemu ya mpango wa muda mrefu wa...
Wanasayansi kushiriki ajenda ya nishati safi kwa kufanya tafiti Wakati Tanzania ikitekeleza mkakati wa Taifa wa matumizi ya nishati safi ya kupikia (2024-2034), wanasayansi wameingia kazini kuunga mkono ajenda hiyo kwa kufanya tafiti zenye ushahidi wa kisayansi.
PRIME ‘Kaunga’ mabaki ya kuku yenye ladha, lakini hatari kiafya Katika maeneo ya Buguruni, Tandale na Temeke, biashara ya kaunga hufanyika, mabaki haya yakiuzwa kati ya Sh200 na Sh500 kwa fungu, huku wafanyabiashara wengine wengine wakiyatoa bure kwa wahitaji.
PRIME CAG abaini kasoro lukuki sekta ya mifugo Licha ya Tanzania kuwa na mifugo ya aina tofauti, ripoti ya Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebainisha huduma za ugani zinazotolewa zinawafikia asilimia tisa tu ya wafugaji...
Baba wa mtoto Juma apatikana, Balozi Bwana asimulia ilivyokuwa Baada ya miezi 10 ya juhudi za ufuatiliaji, hatimaye mtoto wa Kitanzania, Juma, maarufu Joel, mwenye umri wa miaka 13 aliyekuwa akiishi kwenye kituo cha watoto yatima huko Johannesburg, Afrika...
Wapishi, walimu wanolewa matumizi ya nishati safi Wakati Serikali ikilenga kuhakikisha Watanzania wanne kati ya watano wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034, elimu kuhusu matumizi ya nishati hiyo kwa walimu wa shule na wapishi...