Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

97 results for Muhammed Khamis :

  1. Huyu ndiye Babu Duni usiyemjua

    Mwaka 2015 katika Uchaguzi Mkuu, Babu Duni aliondoka CUF na kujiunga Chadema ili kuwa mgombea mwenza wa urais wa Edward Lowassa.

  2. Othman awataka vijana wadai Muungano wenye manufaa pande zote

    Chama cha ACT-Wazalendo kikielekea kuadhimisha miaka 10 ya kuzaliwa kwake Mei 5, 2024, Mwenyekiti wake Taifa, Othman Massoud Othman amesema kuna umuhimu wa vijana wa Kizanzibari kuendeleza...

  3. Petroli yaanza kupatikana, hofu bado Unguja

    Kila mmiliki wa kituo cha kuuza mafuta amepewa lita 2,000, hata kama anahitaji lita 10,000 za mafuta kwa siku.

  4. Petroli yaadimika Zanzibar, wananchi wapaza sauti

    “Vitu kama hivi watu wasione ni vidogo vinatuharibia. Nchi kukosa mafuta maana yake unapunguza harakati za utafutaji wa fedha na kuongeza mapato kupitia kodi ni lazima wajipange kuondoa shida...

  5.  Wakazi Shehia ya Majenzi Kengeja wamkumbuka Karume kivingine

    Wananchi walio wengi Zanzibar wakimkumbuka kiongozi huyo kwa ushujaa na dhamira njema ya kuleta maendeleo, baadhi ya wakazi wa shehia hiyo wanaona dhamira yake njema kwa wananchi imetelekezwa...

  6. Kilichojificha kuhusu aliyemuua Sheikh Karume

    Vyombo mbalimbali vya habari Tanzania na duniani wakati huo vilimtaja Luteni Humud Muhammed Humud kuwa ndiye aliyetekeleza mauaji hayo akishirikiana na wengine ambao baadaye walipigwa risasi...

  7. Makamu wa Rais atupia jicho uvaaji wa watoto

    Wakati waumini wa dini ya Kiislamu wakielekea tamati kukamilisha mwezi mtukufu wa Ramadhani, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amewataka wazazi na walezi kuwavisha...

  8. Bei ya ndizi yapaa Zanzibar

    Ndizi aina ya Mtwike mkungu unauzwa kati ya Sh40,000 hadi Sh50,000 kulingana na ukubwa wake

  9.  ‘Ya Wizi’ mbinu inayotumika kulinda ndizi Zanzibar

    Inasemekana wezi hao wanapokwenda kuuza maandishi yaliyozunguka mkungu wa ndizi na ndizi zenyewe yanayosomeka 'ya wizi' huwarudisha nyuma na wateja pia huzikataa.

  10. Utekelezaji bei elekezi ya sukari wakwama Zanzibar

    Wafanyabiashara wa bidhaa hiyo wameiambia Mwananchi kuwa si rahisi kupunguza bei kama Serikali inavyotaka.

Page 1 of 10

Next