Majaliwa aagiza kusimamishwa kazi watumishi Jiji la Mwanza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Elikana Balandya kuwasimamisha kazi watumishi wa idara za mipango miji na ardhi wa jiji la Mwanza.
Nchi inahitaji zaidi uwekezaji mkubwa, tuvute wawekezaji Hivi karibuni Tanzania ilishuhudia uzinduzi wa uwekezaji mkubwa wa kiwanda cha kuzalisha vioo vya ujenzi, ikiwa ni cha nne kujengwa barani Afrika na cha kwanza katika ukanda wa Afrika mashariki...
Niger yatangaza siku tatu za maombolezo Nchi ya Niger, leo imeanza maombolezo ya kitaifa ya siku tatu, baada ya shambulio linalodhaniwa kutekelezwa na wanamgambo wa kijihadi, ambapo inaelezwa kuwa wanajeshi 29 wa nchi hiyo waliuawa.
Al-Sisi wa Misri kuwania urais muhula wa tatu Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi amethibitisha kuwa atagombea muhula wa tatu katika uchaguzi wa urais uliopangwa kufanyika baadaye Desemba.
WHO yaidhinisha matumizi chanjo ya pili ya malaria Shirika la Afya Duniani (WHO), limeridhia kuanza matumizi ya chanjo ya pili ya ugonjwa wa malaria kwa watoto, ambayo inaweza kuokoa maisha ya maelfu endapo kutakuwa na uwezekano wa kuziba pengo...
Rais Samia ateua, kuhamisha Ma-DC, DED, DAS na bosi Tanapa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kupanga safu za wasaidizi wake kwa kuteua na kuhamisha vituo vya kazi baadhi yao.
PRIME Uteuzi wa Matinyi wawaibua wadau Wiki moja baada Rais Samia Suluhu Hassan kumhamisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amemteua Mobhare Matinyi kuziba nafasi hiyo, huku wadau wa...
Matinyi achukua nafasi ya Msigwa Mabadiliko haya yamefanyika ikiwa ni takribani miezi mitatu baada ya Matinyi ambaye kitaaluma ni mwanahabari kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
Askari Magereza afariki ajali ya treni Dar Aidha Kamishna Nyamka amewataka madereva wote wa Jeshi la Magereza kuzingatia sheria za usalama barabarani.
PRIME Benki ya Dunia yachunguza madai ya mauaji Ruaha Benki ya Dunia (WB) inachunguza madai ya mauaji, ubakaji na kuhamishwa kwa wanavijiji wanaoishi maeneo yenye vivutio vya utalii yanayofadhiliwa na benki hiyo nchini, Mwananchi limebaini.