Kwa nini umfiche mwenza wako kipato? Mwenye kuficha siri hana uhuru wala amani moyoni. Mwenye kutunza siri inayoweza kuivunja ndoa yake hana tofauti na mgonjwa wa saratani.
Kama wakwezo wanga, wazazi wako nao wanga Huwa unajisikiaje na kuelewaje? Si jambo jipya kusikia fulani akilalamika kuwa wakwe zake ni wanga. Mara nyingi, malalamiko haya hutolewa na wakamwana wanaposhindwa kuelewana...
PRIME “Wanaume tumieni fimbo ndogo, siyo kubwa” Kwa sababu tunajadili mambo ya kikubwa, hatuna haja ya kufafanua fimbo ndogo ni nini japo tumefafanua fimbo kubwa. Kama kuna mwanandoa asiyeijua, hii basi, amekosea na kupoteza fedha yake...
Mfilipino alijua kaoa, kumbe kaolewa Kila asubuhi, iwe kiangazi chenye joto kali au kipupwe chenye baridi kiasi cha shughuli za umma kama biashara na shule kufungwa, utamuona akitweta akimtembeza mbwa wa mkewe.
PRIME Wanandoa acheni huu ‘umbumbumbu’ Ujinga, ukatili, na unyama wa kijinsia ni matokeo ya kutoelimika na kustaarabika kwa jamii. Kama hazai watoto wa kiume, si umuache kuliko kumuua?
PRIME Hakuna mwanamke mjaza choo, ‘Mke mwenyewe anajaza choo!’ Japo si jamii zote hufanya hivi, kuna ushahidi kuwa wanawake wagumba wanapata matatizo mengi kuliko wanaume, kutokana na mfumo dume unaotawala karibu dunia yote mbali na ujinga...
PRIME Nani kasema kitanda hakizai haramu? Hamjasikia visa vya baadhi ya wanaume kuua watoto wasio wao au wanandoa wanaoua wenzao wagunduapo wamebambikiwa watoto? Je hapa kitanda hakijazaa haramu na jinai?
PRIME Umewahi kujishtaki kwa mwenza wako? Tofauti na kwenye maisha ya kawaida, mwanandoa anapomkosea mwenzake, ama anaweza kukana na kuongeza tatizo, au matatizo au kuamua kujishitaki kwa mwenzie ili wapata namna ya...
PRIME Talaka ni janga, dawa ni hii Tunajua fika kwa uzoefu wetu na hata kwa utafiti, kuwa hakuna binadamu wala mwanandoa anayependa wala kushabikia talaka, hata kama baadhi ya dini na sheria vimeiridhia kutokea ikilazimu.