Umuhimu wa wasimamizi wasaidizi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa Mwezi huu wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi na wasimamizi wa vituo ambao ni nguzo muhimu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa Novemba 27, 2024 watateuliwa na msimamizi wa uchaguzi.
Umuhimu wa wapigakura kufahamu majina na mipaka ya maeneo yao katika uchaguzi Ndani ya serikali za mitaa, uwajibikaji ni muhimu na mara nyingi huanza kwa wapigakura kujua wapi viongozi wao wanatoka na wapi wanaweza kutoa huduma.
Jukumu la wabunge, wasanii na wanahabari uchaguzi Serikali za mitaa Kupitia magazeti, redio, televisheni na mitandao ya kijamii, vyombo vya habari vinaweza kueneza ujumbe kwa haraka na kwa wigo mpana zaidi.
Sheria ndogo zinazokiuka sheria, Katiba zanyofolewa Amesema kifungu cha 26 cha sheria ndogo hiyo kinataja makosa yanayokatazwa, likiwemo kosa kwa mtu yeyote kufanya shughuli za kisiasa ikiwa ni pamoja na kupandisha bendera ya chama cha siasa.
Mbunge Mabula aomba radhi bungeni, afuta maneno yake Baada ya Mabula kuomba radhi, Spika amesema hoja hiyo sasa imefungwa.
Serikali yaondoa kifungu kuwabana wafanyabiashara kubandika bei za bidhaa Dk Jafo amesema miongoni mwa marekebisho ni wauzaji wa bidhaa na huduma watalazimika kuanza kuonyesha bei ya bidhaa na huduma.
Kipengele cha kuthibitisha mtoa rushwa, mpokeaji chang’olewa kwenye sheria Changamoto za Serikali kushindwa kesi za uchaguzi, michezo ikiwamo ya kubahatisha na burudani, imepatiwa ufumbuzi baada ya kuondolewa kipengele cha kuthibitisha mtoa rushwa na mpokeaji.
Umri ajira za Tawa zawavuruga wabunge, wataka uondolewe Kigezo cha umri usiozidi miaka 25 kwenye tangazo la ajira la Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania (Tawa), limeombewa jambo la dharura bungeni na wabunge ambao wameishauri Serikali waondoe...
Mbunge ahoji uholela usajili laini za simu, Serikali yamjibu Maryprisca amesema TCRA imekuwa ikidhibiti usajili huu katika mikoa, kwa kuhakikisha usajili wa laini unafanyika katika maeneo maalumu badala ya kila mahali.