Madudu afunguka tamthilia ya Nazi Bubu kuwania tuzo Senegal Tamthilia ya Tanzania iitwayo ‘Nazi Bubu’ imechaguliwa kuwania tuzo za Dakar International Drama Festival zitazotolewa Senegal kupitia kipengele cha ‘Best Short Drama’
Shetani wa Buswita alivyoibuka tena Simba Na shetani aliyempitia Buswita ndiyo huyo aliyewapitia akina Awesu Awesu na aliwapitia wengi sana kabla yake na kuwafanya wasaini vilabu zaidi ya kimoja ndani ya dirisha moja la usajili na...
Harmonize na Rayvanny waingia mzigoni Nyota wa muziki nchini, Harmonize na Rayvanny,wametangaza ujio wa ngoma yao mpya ikiwa ni ngoma inayosubiriwa kwa hamu.
Wawili wakamatwa kwa tuhuma za mauaji, dawa za kulevya Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewakamata watu wawili kwa tuhuma za usafirishaji wa dawa za kulevya na mauaji.
Frida aweka historia kwenye Kongamano la Kimataifa la Vijana na Hip-hop Rapa na mtangazaji, Frida Amani ameweka historia ya kuwa msanii wa kwanza kushiriki katika mkutano maarufu wa kimataifa wa NEXT, ulioandaliwa na kituo cha utangazaji cha Uturuki, ‘Turkey Radio na...
Chanzo Msamiati kutumia lugha ya Kinyakyusa kwenye nyimbo zake Wasanii wengi wanaotamani kuvuka mipaka na kufanikiwa kimataifa, hufanya jitihada mbalimbali ikiwemo kuiga ladha na lugha za mataifa mengine ili kuyafikia mafanikio hayo.
Studio za nyumbani zinavyoongeza ubunifu Muziki wa Bongo Fleva unaendelea kukua kwa kuonesha mabadiliko makubwa na ongezeko la studio za kurekodi nyimbo za majumbani zinazoendelea kutengenezwa na baadhi ya wasanii.
ACT Wazalendo yaanza mchakato kumpata mrithi wa Zitto Mpaka sasa viongozi kadhaa wanatajwa kutaka kurithi nafasi hiyo, baadhi yao ni pamoja na Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo – Tanzania Bara, Dorothy Semu, Makamu Mwenyekiti – Zanzibar, Othman...
Wapishi wa ngoma walioupiga mwingi 2023 Katika upande wa michezo, Kimambo alitubariki na ‘Mnyama’ nyimbo ya Simba SC ambayo imeimbwa na Alikiba. Hata hapo awali, pia alitupatia hit kwa ajili ya mashabiki wa Yanga, ‘Yanga Anthem’ ngoma...
Sho Madjozi: Rudisheni ladha ya Bongofleva halisi katika midundo mipya “Hata kabla ya Amapiano kuingia watu walianza kuchukua midundo, melodi na staili za Nigeria, mpaka ikafikia hatua unashindwa kujua kama ni nyimbo ya Kibongo kwa sababu mpaka matamshi wanaiga.