Search

322 results for Seif Jumanne :

 1. PRIME Maji sasa ni mateso kila kona Tanzania

  Kwa wakazi wa eneo kama vile Mbezi Msumi jijini Dar es Salaam, kuna nyakati hulazimika kununua ndoo moja kwa Sh1, 300.

 2. Makonda awataka mawaziri wa viwanda, biashara kutembelea wananchi

  Makonda amemtolea mfano Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akisema ni kiongozi ambaye amekuwa akifanya ziara bila kuchoka ya kutatua kero zinazokabili sekta ya maji

 3. Daktari mbaroni wizi wa vifaa vya ujenzi wa hospitali

  Amesema waliokamatwa ni na daktari aliyekabidhiwa funguo za stoo, na mtunza stoo ambaye alikabidhiwa kutunza vifaa hivyo vya ujenzi.

 4. DC Wanging'ombe ataka uwazi ukusanyaji mapato

  "Nadhani hili limeeleweka, tukusanye sana, lakini pia tuhakikishe kwamba matumizi yetu yanafuata kanuni, sheria na taratibu ambazo Serikali yetu tukufu imetuelekeza," amesema Kitta.

 5. Mvua yazikosesha makazi kaya 20 Makete

  Mvua iliyoambatana na upepo imeezua nyumba na nyingine kubomoka wilayani Makete, mkoani Njombe na kusababisha kaya 20 kukosa makazi.

 6. Wakulima wa parachichi Njombe, waanzisha Saccos kujikwamua

  Kwa hiyo Serikali kupitia Sera ya Maendeleo ya Ushirika, inahimiza uanzishwaji wa vyama vya ushirika ambavyo ni imara na endelevu, vitakavyokidhi matarajio ya wanachama" amesema Chamshama.

 7. Adaiwa kujinyonga, kisa wazazi kumchukua mpenzi wake

  “Kwa kweli tukio hilo siwezi kujua kwa undani zaidi kwa sababu mkewe alikuwa ameondoka Jumamosi, hakuniaga anakwenda wapi, ila Jumatatu mumewe aliniambia jioni kwamba ‘mwenzangu ameondoka hapa...

 8. Jela miaka saba kesi ya uchawi

  Sheria ya Kudhibiti Uchawi inampa mamlaka mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa au Rais kumpeleka uhamishoni mtuhumiwa wa uchawi atakayethibitika.

 9. Kunyimwa unyumba chanzo mume kumchinja mkewe

  Mauaji hayo ambayo yanatajwa kuwa ya kutisha, yalitokea usiku wa kuamkia Januari 8, 2024 katika kitongoji cha Dombwela, wilayani Makete. Ambapo Tumaini ameshazikwa jana Januari 9, 2024 katika...

 10. Anayedaiwa kuchinjwa na mumewe, azikwa

  Tumaini inadaiwa aliuawa kwa kuchinjwa na mwili kutenganishwa na kichwa chake, na kama hiyo haikutosha, anayedaiwa kutekeleza mauaji hayo Juma Kyando (36), aliukata mwili huo vipande vipande na...

Page 1 of 33

Next