Gyökeres awazima Man United, waelekeza majeshi Ujerumani Manchester United imegeuzia macho kwa mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt ya Ujerumani, Hugo Ekitike, kufuatia ugumu uliojitokeza wa kumnasa mshambuliaji aliekuwa anapewa kipaumbele kujiunga na...
Liverpool imemnasa Wirtz kwa usajili wa rekodi Liverpool imepambana vita kali kwenye mchakamchaka wao wa kunasa saini ya kiungo mshambuliaji wa Kijerumani, Florian Wirtz ikifikia makubaliano ya kumsajili kwa ada ya Pauni 116 milioni, ikiwa ni...
Al Ahly yaikazia Inter Miami ya Messi Kombe la Dunia la Klabu Inter Miami ya Lionel Messi wa imelazimishwa suluhu na Al Ahly ya Misri katika michuano ya Kombe la Dunia la Klabu.
Mbeumo bado yupo njia panda England Swali moja gumu, Bryan Mbeumo anakwenda wapi? Staa huyo wa Brentford amejikuta kwenye sintofahamu kubwa wakati huu akisakwa na vigogo wa Ligi Kuu England katika dirisha hili la majira ya kiangazi.
Gyokeres aikacha Man United, Arsenal ishindwe yenyewe Straika, Viktor Gyokeres amegomea uhamisho wa kwenda kujiunga na Manchester United, imeripotiwa Straika huyo amepania kufanya uhamisho kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi huku...
Cunha ataja sababu mbili zilizompeleka Man United Siku moja baada ya kutambulishwa, Mshambuliaji mpya wa Manchester United, Matheus Cunha ametaja sababu mbili ambazo zimemfanya ashawishike kujiunga na timu hiyo katika dirisha kubwa la usajili la...
PRIME Maswali tata zawadi za Yanga FA Mjadala huo umeibua maswali mengi ambayo hata wewe msomaji utakuwa unajiuliza juu ya mvutano huo ambao ni kama umezima kabisa ishu ya Dabi ya Kariakoo.
Frank amrithi Postecoglou Spurs Thomas Frank ameiongoza Brentford katika michezo 317 ambapo ilipata ushindi katika mechi 136, ilitoka sare 71 na kupoteza idadi ya mechi 110 huku ikifunga mabao 527 na kuruhusu nyavu zake...
Kariakoo Derby yasogezwa mbele, kupigwa Juni 25 Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesogeza mbele mechi ya Ligi Kuu namba 184 baina ya Yanga na Simba uliopangwa kuchezwa Juni 15 hadi Juni 25.
Simba kamili kwa dabi, Nouma na Che Malone fiti Wachezaji wa Simba waliokuwa na majeraha ni Moussa Camara, Valentino Nouma, Che Malone Fondoh pamoja na Mzamiru Yassin ambaye hakuonekana kikosini kwa muda mrefu.