Dk Tulia: Bunge kujadili ushirikiano wa bandari Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema azimio la Bunge kuhusu kuridhia ushirikiano wa uendelezaji na uboreshaji wa utendaji wa bandari Tanzania, litawasilishwa bungeni Juni 10, 2023 kwa ajili ya...
Tatizo la uhaba wa fedha za kigeni laibuka bungeni Mbunge wa Biharamulo Magharibi (CCM), Ezra John Chiwelesa amesema wafanyabiashara ndogondogo na wa kati wamekuwa wakipata shida ya fedha za kigeni huku benki zikiweka viwango vya fedha zinazotoa...
Mbunge akerwa magari ya Serikali kutokatiwa bima Mbunge wa Vwawa (CCM), Japhet Hasunga ameshauri Serikali kuweka bima ya lazima katika majengo ya kibiashara na magari yake ili watu wanapopata majanga waweze kulipwa.
Fedha za kulipia deni la Serikali zaongezeka Serikali imeongeza fedha kwa ajili ya kulipa madeni kutoka Sh9.1 trilioni mwaka 2022/23 hadi Sh10.4 trilioni kwa mwaka 2023/24.
Dk Mpango akerwa na gari za taka, mifuko ya plastiki Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amesema zipo kampuni za kuzoa takataka zinazoshindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo, kwa sababu ya uwezo mdogo.
Viongozi simamieni sheria za mazingira-DC Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabiri Shekimweri amesema uchafuzi wa mazingira unaonekana mitaani unashirika hakuna usimamizi wa sheria za mazingira zilizotungwa.
Naibu Waziri ashangaa mbunge wa Chadema alishindaje Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel amemshangaa Mbunge wa Nkasi Kaskazini (Chadema), Aida Khenani ameshindaje katika uchaguzi mkuu kutokana na muundo wa jimbo hilo.
Mpango akerwa na vijana wanaochoma mkaa Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amesema vijana wanaochoma mkaa kwenye msitu wa Chinene uliopo katika Kijiji cha Chinene wilayani Bahi mkoani Dodoma wanatishia uhai wa chanzo cha maji kilichopo...
Machinga wataka kamati ndogo kutatua migogoro Machinga wameshauri Serikali kuunda kamati ndogo itakayowashirikisha wao na wadau lengo likiwa ni kushughulikia migogoro na upangaji wa wafanyabiashara.
Naibu Waziri Ndejembi ataka halmashauri zipande miti Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, (Tamisemi), Deogratius Ndejembi ameziagiza halmashauri zote nchini kuhakikisha zinapanda miti kwenye maeneo...