Wanavijiji wachoshwa na maji ya visima Ameiomba Serikali kuwaondolea adha hiyo kwa kuhakikisha mradi wa maji ya Ziwa Victoria ambao umeanza kutekelezwa unakamilika haraka ili kuhakikisha tatizo la kukosekana huduma ya majisafi na...
Zahanati yadaiwa kutelekezwa Shinyanga Wakazi wa Kijiji cha Isela Kata ya Samuye Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wameiomba Serikali kukamilisha ujenzi wa zahanati ya kijiji hicho iliyotelekezwa hali inayowalazimu kutembea zaidi ya...
Wadau Shinyanga wataka Serikali ipunguze utitiri wa kodi Wadau wa masuala ya kodi mkoani Shinyanga wameishauri Serikali kuondoa utitiri wa kodi kwenye biashara na taasisi ili kupunguza changamoto zinazosababisha baadhi ya wafanyabiashara kukwepa kodi...
Ujenzi uwanja wa ndege Ibadakuli wafikia asilimia 80 Ujenzi wa kiwanja cha ndege Ibadakuli katika Manispaa ya Shinyanga umefikia asilimia 80 na unatarajiwa kukamilika Aprili 2025.
Wanaotumia vyandarua kufugia kuku kukiona Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha leo Jumamosi Desemba 14, 2024, wakati wa mkutano wa waraghabishi kuhusu ugawaji wa vyandarua ngazi ya kaya.
Sababu kutobandikwa majina vituo vya wazi Shinyanga. Msimamizi wa uchaguzi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Alexius Kagunze, amesema baadhi ya vituo vya wazi ambavyo haviko kwenye majengo ya umma, havijabandika majina isipokuwa...
Jeneza lakutwa shambani kwa mganga, Polisi wamshikilia Katika hali isiyokuwa ya kawaida, jeneza tupu limekutwa limefichwa kwenye shamba la Kumalija Budeba (55), mkazi wa Mtaa wa Mwime Makungu, Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga.
Watatu wafariki malori mawili yakigongana, kuteketea Kahama Watu watatu ambao majina yao hayajatambulika wamefariki dunia papo hapo, huku mmoja akijeruhiwa kwa kukatika miguu katika ajali iliyohusisha malori mawili.
Wawili wauawa kwa kuchomwa moto, wakituhumiwa matukio ya uvamizi Jeshi la Polisi mkoani hapa, linaendelea na uchunguzi wa tukio la wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa kuwaua vijana wawili kwa kuwachoma moto, wakituhumiwa kwa matukio ya uvamizi.
Tope lazua taharuki mnada wa Mhunze Shinyanga Wakazi wa Kishapu wamekumbwa na sintofahamu baada ya ardhi ya eneo wanalolitumia kufanya mnada la Mhunze kuanza kutoa tope lililokuwa likipanda juu.