Chaumma kutumia chopa kunadi operesheni yake mpya mikoa 16 Katika hatua nyingine, Mwalimu amewataka wanachama hao kuungana pamoja katika kukijenga chama hicho kwa wivu mkubwa.
PRIME Nani yuko nyuma ya Chaumma? Ni Chaumma ile ambayo mikutano yake ya hadhara na kampeni, ukiacha mgombea, usingekuta watu wanaofika 200 kutia shamrashamra, lakini leo kimeujaza ukumbi unaochukua zaidi ya watu 1,000 na shangwe...
Huu hapa ujumbe wa Rungwe akipokea makada 3,000 toka Chadema Mwenyekiti wa Chaumma, Hashimu Rungwe amewataka wanachama wapya 3,000 waliopokelewa kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuheshimu itikadi ya chama hicho inayoamini katika...
Kigaila afunga rasmi ukurasa wa Chadema Naibu Katibu Mkuu wa Chaumma, Benson Kigaila amesema baada ya kuwapokea vigogo 3,000 waliokihama Chadema, wataanza kuweka mikakati rasmi ya kupambana na adui wao wa kudumu.
Shangwe Chaumma ikipokea wanachama wapya waliojiondoa kutoka Chadema Hekaheka na shamrashamra zimeanza kwa wanachama wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), tayari kupokea wanachama wapya zaidi ya 3,000 waliokihama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
PRIME Chaumma kinavyoibuka mbavuni mwa Chadema, wadau wafunguka Katika uteuzi huo uliofanywa na Halmashauri Kuu, Mwalimu aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, akirithi nafasi ya Mohammed Masoud Rashid aliyejiuzulu muda mfupi kabla ya kutangazwa mrithi...
Viongozi watatu Chaumma wajiuzulu nafasi zao Mambo yameanza kuchangamka ndani ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), baada ya viongozi watatu wa kitaifa kujiuzulu nafasi zao, wakitaja sababu ni kukipa chama hicho fursa ya kuwapata...
Mwalimu, Kigaila, Mrema walivyotinga Kamati Kuu Chaumma Baadhi ya walioshuhudiwa wakiingia eneo hilo ni waliokuwa wajumbe wa sekretarieti ya Chadema katika uongozi uliopita, akiwemo Naibu Makatibu Wakuu wastaafu wa Zanzibar na Bara, Salum Mwalimu na...
Mkutano mkuu Chaumma na sura za G55 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bawacha Mbagala, Khadija Mwago naye alikuwa sehemu ya waliokuwepo katika eneo hilo, akifanya mazungumzo na makada mbalimbali wa Chaumma.
Wananchi, wasomi wakoleza mjadala uongezwaji majimbo Wananchi na wasomi wamekoleza mjadala wenye mitazo tofauti kuhusu nyongeza ya majimbo mapya manane yaliyotangazwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), baadhi wakisema hatua hiyo inakwenda...