Idadi vifo Hanang yafikia 69 Vifo vilivyotokana na maporomoko ya tope kutoka Mlima Hanang mkoani Manyara, vimefikia 69 baada ya miili minne kupatikana.
Intaneti ya bure Mlima Kilimanjaro Moshi. Zaidi ya Watanzania 200 wanaopanda Mlima Kilimanjaro kuelekea siku ya maadhimisho ya miaka 62 ya uhuru wa Tanganyika, watagharamiwa huduma za mawasiliano ya intaneti bure na Shirika la...
PRIME Madai polisi kugeuza baa kitega uchumi Sakata la askari wawili wa Jeshi la Polisi wa Kituo cha Mabatini, Dar es Salaam kukishikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mlinzi wa baa maarufu jijini humo ya Board Room iliyopo Sinza, Razak Azan...
Majaribio uzalishaji umeme Bwawa la Nyerere yaanza rasmi Taarifa hiyo kwa umma imetolewa Desemba Mosi, 2023; Tanesco imefafanua kuwa kazi hiyo inahusisha kuunganisha kituo cha umeme cha Chalinze kitakachopokea umeme kutoka JNHPP na gridi ya taifa.
Israel yakubali kuongeza muda zaidi kusitisha vita Israel imekubali kuongeza muda wa kusitisha vita kwa muda ili kuruhusu mateka zaidi wanaoshikiliwa na Wanamgambo wa Hamas kuachiliwa, huku ikielezwa kuwa haya yanafanyika baada ya Rais wa nchi...
Moshingi Bosi mpya DCB Benki ya Biashara ya DCB, imemtambulisha Sabasaba Moshingi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wake mpya, akijaza nafasi inayoelezwa kuwa wazi kwa “muda mrefu” tangu kuondoka kwa aliyekuwa katika nafasi hiyo.
Ahadi mbili za kocha mpya Simba Benchikha ambaye kabla ya kujiunga na Simba aliiongoza USM Alger ya Algeria kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika na ule la CAF Super Cup, alisema atahakikisha Simba inarudisha heshima ya...
UTPC mguu sawa kupambana na ukatili wa kijinsia Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) umeeleza kuwa unakusudia kuendelea kushirikiana na Serikali katika mapambano ya kuzuia vitendo vya ukatili wa kijinsia ambavyo kwa sasa...
PRIME CCM Manyara kukutana kumjadili Gekul Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimefanya kikao chake leo Jumapili Novemba 26, 2023 kujadili sakata la Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul anayekabiliwa na tuhuma za ukatili na...
Rais Samia kuongoza maadhimisho miaka 36 Tamwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya Chama cha Wanabari Wanawake Tanzania (Tamwa).