Kivumbi Marekani, wagombea wakabana koo uchaguzi ukikaribia
Uchaguzi wa Rais wa Marekani unatarajiwa kufanyika Novemba 5, 2024, Zikiwa zimesalia wiki chache tu, kinyang'anyiro kati ya wagombea wawili wakuu, Kamala Harris wa Chama cha Democratic na Donald...