Waandishi wa Mwananchi wang’ara Tuzo za Ejat Dar es Salaam . Waandishi wanane wa Mwananchi ni miongoni mwa washindi waliochukua tuzo kinya’nga’nyiro cha Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (Ejat), kwa mwaka 2023. Waandishi hao ni pamoja na...
Waandishi 17 wa Mwananchi kuwania tuzo za Ejat Waandishi 17 wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) ni miongoni mwa wateule 72 watakaowania tuzo za umahiri za uandishi wa Habari (Ejat) zinazotolewa na Baraza la Habari Tanzania...
PRIME Saa mbili za mahojiano ya mwisho Manji Dar “Ila siku ile ilikuwa tofauti sana kwani mwenyewe ndiye alitaka mahojiano yale na akawa ananiuliza tufanye lini?”
PRIME Machungu intaneti bado yauma Vyanzo mbalimbali vya taarifa mtandaoni, vinaonyesha ukarabati wa mkongo wa chini ya bahari unaweza kuchukua kuanzia siku sita hadi wiki nane kulingana na ukubwa wa tatizo.
Tamu na chungu ya michoro ya Tattoo Napenda tattoo kwa sababu ni njia inayonifanya nijisikie vizuri, hasa ninapopitia changamoto zinazoniumiza moyo na kunikosesha amani, nikishachora huwa napata amani, na michoro yote iliyopo...
Kampuni ya Mwananchi ni mwendo wa kidijitali zaidi Ili kufanya hivyo, mtumiaji wa tovuti hizo atatakiwa kulipia Sh500 kwa siku, Sh3,000 kwa wiki, Sh15,000 kwa mwezi na Sh91,000 kwa mwaka mzima.
VIDEO: Simulizi aliyejichoma sindano 38 tumboni akisaka mtoto kwa miaka 13 Miaka 13 haikuwa kikwazo kwa Josephine kupambana kupata ujauzito, akitumia zaidi ya Sh20 milioni.
VIDEO: Miaka 14 ya hedhi ya mateso Maisha ni mapambano, si vyema kukata tamaa. Ni ujumbe unaoshabihiana na simulizi ya Sada Jinyevu (35), anayepitia mateso kila anapopata hedhi.
Safari ngumu ya kutafuta mtoto kwa upandikizaji Saa moja usiku ndani ya ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) nikielekea jijini Arusha nikiwa na mawazo lukuki kichwani, hasa kuhusu majibu ya vipimo ambavyo hadi muda huo sikuwa nimevifanya.
Mwana FA kutoka kuwa mwanaHip Hop hadi U-naibu waziri Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Muheza, Hamis Mohamed Mwinjuma ‘Mwana FA’ kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.