Serikali ya Awamu ya Tano inavyotekeleza miradi ya maendeleo wilayani Bahi


Serikali ya Awamu ya Tano inavyotekeleza miradi ya maendeleo wilayani Bahi

Katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli, Halmashauri imetekeleza Miradi mbalimbali ya Maendeleo yenye thamani ya Shilingi 11,401,720,583 kama zilivyoainishwa katika Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2015 hadi 2020 na ahadi za Mheshimiwa Rais wakati wa Kampeni za uchaguzi mwaka 2015 na  kwa kuzingatia sera mbalimbali za kisekta, Mpango na bajeti ya Halmashauri ya mwaka wa fedha 2016/2017-2019/2020  na Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa miaka mitano.

Wilaya ya Bahi ni mojawapo kati ya Wilaya saba za Mkoa wa Dodoma, ikiwa na Tarafa 4, Kata 22, Vijiji 59, vitongoji 553 na eneo la kilometa za mraba 5,948.

 Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Wilaya ina watu 221,645 (wanaume 105,975 (47.8%) na wanawake 115,670 (52.2 %).  Kwa maoteo ya mwaka 2017 ya NBS, Bahi ina jumla ya watu 245,958 (Wanaume 117,600 na Wanawake 128,358).

 Katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli, Halmashauri imetekeleza Miradi mbalimbali ya Maendeleo yenye thamani ya Shilingi 11,401,720,583 kama zilivyoainishwa katika Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2015 hadi 2020 na ahadi za Mheshimiwa Rais wakati wa Kampeni za uchaguzi mwaka 2015 na  kwa kuzingatia sera mbalimbali za kisekta, Mpango na bajeti ya Halmashauri ya mwaka wa fedha 2016/2017-2019/2020  na Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa miaka mitano.

 Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

 Umaliziaji wa maboma na Ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule za Msingi

 Halmashauri imepokea na kutumia kiasi cha Shilingi 438,693,503,  kati ya fedha hizi Shilingi 148,000,000/- ni za P4R kwa ajili ya umaliziaji wa maboma 10 ya shule za msingi na Shilingi 120,000,000/- (TEA) ikiwa ni kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa  katika shule ya msingi Iwumba, Shilingi 60,000,000  vyumba 3 shule ya msingi Chidete, Shilingi 60,000,000 na 169,893,503  za EQUIP-T. Mchanganuo kamili ni kama ifuatavyo:

A: P4R:

NA

JINA LA MRADI

KIASI CHA FEDHA KILICHOTOLEWA

HATUA YA MRADI

1.

Umaliziaji wa vyumba 2 vya madarasa Shule ya Msingi Chikola

48,800,000

Ujenzi umekamilika

2.

Umaliziaji wa vyumba 2 vya madarasa

25,000,000

Ujenzi umekamilika

3.

Umaliziaji wa vyumba 2 vya madarasa Shule ya Msingi Isangha

25,000,000

Ujenzi umekamilika

4.

Umaliziaji wa Chumba 1  cha darasa Shule ya Msingi Mchito

12,500,000

Ujenzi umekamilika

5.

Umaliziaji wa chumba 1 cha darasa Shule ya Msingi Mgondo

12,500,000

Ujenzi umekamilika

6.

Umaliziaji wa vyumba viwili vya madarasa V Sokoine

12,500,000

Ujenzi umekamilika

7

Umaliziaji wa chumba 1 cha darasa Shule ya Msingi Mindola

12,500,000

Ujenzi umekamilika

 

JUMLA

148,800,000

 

 A: TEA

NA

JINA LA MRADI

KIASI CHA FEDHA KILICHOTOLEWA

HATUA YA MRADI

1.

Ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa shule ya Msingi Iwumba

60,000,000

Ujenzi umekamilika

2

Ujenzi wa madarasa 3 shule ya Msingi Chidete

60,000,000

Ujenzi unaendelea

 

JUMLA

120,000,000

 

 B. EQUIP-T

NA

JINA LA MRADI

KIASI CHA FEDHA KILICHOTOLEWA

HATUA YA MRADI

1.

Ujenzi wa Shule shikizi ya msingi Soiti

60,000,000

Ujenzi umekamilika

2

Ujenzi Shule shikizi ya msingi Mnarani

60,000,000

Ujenzi umekamilika

3

Umaliziaji wa boma shule ya Msingi Chikola

12,400,000

Ujenzi umekamilika

4

Umaliziaji wa boma shule ya Msingi Chikola

12,400,000

Ujenzi umekamilika

5

Umaliziaji wa Maboma mawili shule ya Msingi Ilindi

25,093,503

Ujenzi unaendelea

 

JUMLA

169,893,503-

 

Umaliziaji wa maboma, hosteli na Madarasa - Shule za sekondari

Halmashauri imepokea jumla ya Shilingi 548,000,000/- kati ya fedha hizi Shilingi 477,500,000/- (Fedha za P4R) ni kwa ajili ya umaliziaji wa maboma ya shule kumi na tano (15) za Sekondari, ujenzi wa hosteli moja (1) na ujenzi wa madarasa mawili (2) wakati Shilingi 70,500,000/- (Fedha za TEA) ni kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya walimu ya 6 kwa 1 (6 - Mult Unit) nyumba za walimu kama ifuatavyo:-

S/N

JINA LA MRADI

KIASI CHA FEDHA

HATUA YA MRADI

1.

Umaliziaji  wa vyumba vya madarasa  2 shule ya Sekondari babayu

25,000,000

Ujenzi umekamilika

2.

Umaliziaji  wa vyumba vya madarasa  3 Shule ya Sekondari Bahi

37,500,000

Ujenzi umekamilika

3.

Umaliziaji  wa vyumba vya madarasa 2 Shule ya Sekondari Chikola

25,000,000

Ujenzi umekamilika

4.

Umaliziaji  wa vyumba vya madarasa 2 Shule ya Sekondari Chikopelo

25,000,000

Ujenzi umekamilika

5

Umaliziaji  wa vyumba vya madarasa 2 Shule ya Sekondari Chipanga

25,000,000

Ujenzi umekamilika

6

Umaliziaji  wa vyumba vya madarasa 2 Shule ya Sekondari Chonama

25,000,000

Ujenzi umekamilika

7

Umaliziaji  wa vyumba vya madarasa 2 Shule ya Sekondari Ibihwa

25,000,000.

Ujenzi umekamilika

8

Umaliziaji  wa vyumba vya madarasa  2 Shule ya Sekondari Ibugule

25,000,000.

Ujenzi umekamilika

9

Umaliziaji  wa chumba cha  darasa  1 Shule ya Sekondari Kigwe

12,500,000.

Ujenzi umekamilika

10

Umaliziaji  wa vyumba vya madarasa  2 Shule ya Sekondari Magaga

25,000,000.

Ujenzi umekamilika

11

Umaliziaji  wa vyumba vya madarasa  2 Shule ya Sekondari Mpalanga

25,000,000

Ujenzi umekamilika

12

Umaliziaji  wa chumba cha  darasa  1 Shule ya Sekondari Mpamantwa

12,500,000

Ujenzi umekamilika

13

Umaliziaji  wa chumba cha  darasa  1 Shule ya Sekondari Msisi juu

12,500,000

Ujenzi umekamilika

14

Umaliziaji  wa chumba cha  darasa  1 Shule ya Sekondari Mtitaa

12,500,000

Ujenzi umekamilika

15

Umaliziaji  wa vyumba vya madarasa  4 Shule ya Sekondari Mundemu

50,000,000

Ujenzi umekamilika

16

Ujenzi wa Hosteli na madarasa mawili (2) Shule ya Sekondari Mwitikira

115,000,000

Ujenzi umekamilika

17

Ujenzi wa nyumba 6 kwa 1 za walimu (Six in one) Shule ya Sekondari Mpalanga

70,500,000

Ujenzi umekamilika

 

JUMLA

548,000,000

 

Uboreshaji wa huduma za Afya

Halmashauri ilipokea na kutumia jumla ya Shilingi, 3,000,000,000/- kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya ukarabati wa vituo vya Afya vitatu vya Bahi, Chifutuka na Mundemu na Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya kama ifuatavyo:

 

NA

JINA LA MRADI

KIASI CHA FEDHA KILICHOTOLEWA

HATUA YA MRADI

1

Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya

1,500,000,000

 

2

Ukarabati wa Kituo cha Afya Bahi

500,000,000

Mradi umekamilika

2.

Ukarabati wa Kituo cha Afya Mundemu

500,000,000

Mradi umekamilika

3.

Ukarabati wa Zahanati ya Chifutuka

500,000,000

Mradi umekamilika

 

Jumla

3,000,000,000

 

 Utekelezaji wa Miradi mingine ya Maendeleo

S/N

JINA LA MRADI

KIASI CHA FEDHA

HATUA YA MRADI

1

Ujenzi wa mradi wa  maji katika kijiji cha Mchito

246,550,000

Mradi umekamilika

2

Upimaji wa njia za mabomba kwaajili ya usambazaji maji kwa mpango wa muda mfupi katika Mji wa Bahi

230,000,000

Mradi umekamilika

3

Ujenzi wa madaraja 3 katika barabara ya Mpunguzi-Mwitikira na Misisi-Tinai

157,970,393

Mradi umekamilika

4

Matengenezo makubwa ya barabara ya Mpunguzi-Mwitikira km 21.3

2,740,871,633

Mradi umekamilika

5

Matengenezo ya kawaida barabara za wilaya na vijijini km 123.9

452,133,626

Mradi umekamilika

6

Matengenezo ya kiwango cha Lami Km 2.3 ( km 0.9 barabara ya Bahi misheni polisi, Km0.7 Bahi-Mkuu wa Wilaya, Km 0.7 Mwanachugu-Bahi Sokoni)

1,286,100.952

Mradi umekamilika

7

Ujenzi wa nyumba 3 (1 kwa 6) katika shule za sekondari Msisi Juu, Magaga na Chonama

518,623,370.00

Mradi umekamilika

8

Ujenzi wa madarasa 4 na matundu 12 ya vyoo katika shule 3 za sekondari Msisi Juu, Magaga na Chonama

179,909,304

Mradi umekamilika

9

Ujenzi wa daraja la Chipanga shilingi

2, 499, 676, 1,925

Mradi umekamilika

10

Ujenzi wa kalvati Nghulugano pamoja na barabara ya urefu wa 8.6km

1,800,075,707

Mradi umekamilika

11

Ujenzi wa kalvati Bahi Makulu

53,767,240

Mradi umekamilika

12

Ujenzi kalvati Tinai

46,491,435

Mradi umekamilika

13

Kwa kutumia fedha za P4R madawati 1,000 kwa shule za msingi zenye upungufu yalinunuliwa

65,000,000

Mradi umekamilika

14

Ukarabati wa miundombinu katika shule 3 (Mwitikira, Mtitaa na Ibugule) za sekondari

14,351,000

Mradi umekamilika

15

Ununuzi wa viti na meza shule za sekondari

9,100,000

Mradi umekamilika

16

Ujenzi na ukarabati wa miundombinu katika shule ya Msingi Viziwi

150,000,000

Mradi umekamilika

17

Ujenzi na ukarabati wa miundombinu shule ya Msingi Nagulo Bahi

111,000,000.00

Mradi umekamilika

19

Ujenzi wa mradi wa usambazaji maji kijiji cha Mkakatika

637,897,271

Mradi  umekamilika

 

Jumla

7,415,027,080