Mrundi alivyomuua mwenzake, kumzika na kupanda mazao juu ya kaburi lake
Baada ya kumuua kwa jembe, raia huyo wa Burundi akishirikiana na mshtakiwa namba mbili, Ndayikengurukiye Stanslaus naye raia wa Burundi na watu wengine wanne kumzika, kisha Bandyeekela akapanda...