ACT-Wazalendo, CUF vyasusia uchaguzi Kwahani Chama cha ACT-Wazalendo kimetangaza kususia uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Kwahani mjini Unguja utakaofanyika Juni 8, 2024.