Sh31.5 bilioni kujenga kituo cha kulea vipaji Malya Serikali inajenga kituo cha kulea vipaji vya michezo chenye thamani ya Sh31.5 bilioni katika Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya wilayani Kwimba ili kuendeleza michezo mkoani humo.