Wanafunzi 194 Momba wapewa mimba ndani ya mwezi mmoja Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo ameagiza kukamatwa ndani ya siku 21 kwa wanaume waliohusika kuwapa mimba wanafunzi 194 wa shule za msingi na sekondari katika Wilaya ya Momba mkoani Songwe...
Mikoa sita vinara wizi wa mtandaoni hii hapa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, ametaja mikoa sita yenye matukio mengi ya wizi wa kimtandao.
Watumiaji soda, juisi hatarini kupata shinikizo la juu la damu Wanywaji wa soda, juisi za kusindikwa viwandani na vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) wako katika hatari ya kupata shinikizo la juu la damu, imeelezwa.
PRIME Biashara ya mkaa pasua kichwa, yafikia Sh69.9 bilioni Wakati dunia ikiendelea kupigia chapuo matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa ajili ya kulinda mazingira, hali bado ni tete kwa upande wa Tanzania, ambayo uuzaji wa mkaa umeongezeka kwa karibia...
Mbinu mpya za ukeketaji zamulikwa Wakati Serikali ikipambana na vitendo vya ukekektaji nchini, baadhi ya jamii zinazoendeleza mila hizo zimekuja na mbinu mpya.
PRIME Mkanganyiko wa takwimu, mauzo ya ufuta yakipaa Wakati bajeti ya Wizara ya Kilimo ya mwaka 2024/25, ikionyesha kuwa mauzo ya zao la ufuta yalifikia zaidi ya Sh1.25 trilioni kwa kipindi cha mwaka 2022/23, taarifa ya Mamlaka ya Maendeleo ya...
Dk Chana ajinasibu Rita kujitanua kidijitali Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Pindi Chana amewataka wananchi kote nchini kutumia mfumo wa kidijitali wa eRITA, kwa ajili ya kutuma maombi ya huduma za Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini...
Tume ya Uchaguzi mguu sawa uchaguzi mkuu 2025 Kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, amesema daftari linatarajiwa kuwa na wapiga kura 34,746,638 kutoka wapiga kura 29,754,699 wa mwaka 2020 sawa na ongezeko la wapiga...
PRIME Mahamat Deby anavyobeba mustakabali wa Chad Uchaguzi uliomwingiza madarakani ulifanyika katika mazingira ya hofu na kulikuwa na ripoti kuhusu udanganyifu siku ya uchaguzi.
PRIME Biashara ya mkaa pasua kichwa, yafikia Sh69.9 bilioni Wakati dunia ikiendelea kupigia chapuo matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa ajili ya kulinda mazingira, hali bado ni tete kwa upande wa Tanzania, ambayo uuzaji wa mkaa umeongezeka kwa karibia...
Sh31.5 bilioni kujenga kituo cha kulea vipaji Malya Serikali inajenga kituo cha kulea vipaji vya michezo chenye thamani ya Sh31.5 bilioni katika Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya wilayani Kwimba ili kuendeleza michezo mkoani humo.
Mjadala kifo cha Mohbad wafungwa Baada ya kusubiri majibu ya vipimo ya mwili wa mwanamuziki kutoka Nigeria Mohbad kwa miezi nane sasa, Daktari Bingwa wa Uchunguzi wa Kisayansi na Patholojia kutoka Hospitali ya Taaluma ya Chuo...
Unataka kuwekeza katika hatifungani za Serikali? Fanya hivi… Kama tulivyoangalia kwenye toleo lililopita, uwekezaji katika hatifungani unaweza kuwa njia nzuri ya kujipatia kipato kwa wawekezaji. Iwapo unataka kuwekeza kwenye hatifungani za Serikali fuata...
Mambo matano ya kufanya unapokutana tena na mpenzi uliyeachana naye Dakika chache za kwanza tunapokutana na wapenzi wetu baada ya kuachana kwa kitambo kifupi zina umuhimu.