Tunataka Katiba lakini... “Tutumie njia hiyo tufanye kazi, Mungu atuepushe usitokee mvutano. Mara nyingi Katiba haipatikani mpaka damu zimwagike, lakini ni vyema kuendelea kuchimba kuna namna ya kupata Katiba mpya,” amesema.
Mfumo wa ulinzi Ikulu, makazi ya Rais kuimarishwa Ameliomba Baraza la Wawakilishi kuidhinisha Sh24 bilioni, akisema miradi imetengewa Sh4.5 bilioni.
Tume ya Uchaguzi mguu sawa uchaguzi mkuu 2025 Kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, amesema daftari linatarajiwa kuwa na wapiga kura 34,746,638 kutoka wapiga kura 29,754,699 wa mwaka 2020 sawa na ongezeko la wapiga...
Baraza la Wawakilishi kuanza kujadili bajeti kesho Maswali 291 yanatarajiwa kuulizwa na kupatiwa majibu
Mke wa Balozi alalamika kuvamiwa na wasiojulikana Polisi yakiri kupokea taarifa, yasema uchunguzi unaendelea.
Fukwe Zanzibar zatengewa Sh661 milioni Serikali yahojiwa ina mpango gani wa kutengeneza fukwe za bahari zilizoathirika upande wa Zanzibar.
Jamii yahamasishwa ushiriki Mwenge wa Uhuru Mbio za mwenge zinaelimisha na kuhamasisha jamii ya Watanzania kuzingatia lishe bora, mapambano dhidi ya rushwa, mapambano ya VVU na dawa za kulevya
ZRA yataja imani za dini kikwazo ulipaji wa kodi Licha ya kuwapo madai kuwa kodi ya Zanzibar ni kubwa, Mwenda amesema mfanyabiashara ambaye mauzo yake hayafiki Sh5 milioni kwa mwaka amesamehewa kulipa kodi.
ZFDA yapiga marufuku maziwa ya Infacare kuuzwa Zanzibar ZFDA imesitisha matumizi ya maziwa hayo kutokana na kutokidhi matakwa ya sheria na vigezo vya bidhaa za chakula, kutosajiliwa na kutothibitishwa kwa ubora na usalama na wakala wa dawa, chakula...
‘Jengeni kwa chuma kulinda mazingira’ Wakati sekta ya ujenzi ikitajwa kuwa miongoni mwa zinazochangia kwa kiasi kikubwa kuharibu mazingira, wahandisi wameshauriwa kujifunza matumizi ya teknolojia ya chuma ambayo ni rahisi na rafiki...