1. Chanjo ya R21 kuleta mabadiliko vita dhidi ya Malaria Kusini mwa Jangwa la Sahara

    Tunapoadhimisha Siku ya Malaria Duniani, sekta ya afya duniani inashuhudia maendeleo makubwa katika vita dhidi ya ugonjwa huo, hasa katika nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara eneo ambalo...

  2. Fahamu kuhusu utaratibu wa madai na fidia ya bima

    Mpendwa msomaji wa ukurasa rasmi wa Kamishna wa Bima, karibu katika muendelezo wa makala hizi ambapo leo Kamishna anazungumzia kuhusu utaratibu na hatua stahiki za kudai fidia ya bima.

  3. Singu: Ushirikiano, weledi, kuzingatia ubora ndiyo siri ya mafanikio ya Premier Agencies

    Kiongozi bora katika kam­puni ni nguzo muhimu ya mafanikio. Wanatoa mwon­gozo, msukumo na mwelekeo kwa wafanyakazi. Kupitia uongozi wao, kampuni hufan­ikiwa kufikia malengo yake na kuendeleza...

  4. UBX: Mama wa upatanifu katika sekta ya kibenki Tanzania

    Miaka ishirini iliyopita, mkazi wa Mufindi alilazimika kusafiri umbali mrefu kutafuta mashine ya ATM inayomilikiwa na benki yake ili aweze kutoa pesa. Leo hii, kama vingi vinavyotuzunguka...

  5. Kwa nini uwekezaji sekta ya kilimo ni muhimu

    “Kama kilimo kikienda kombo, hakuna jambo lingine litapata nafasi ya kwenda vizuri,” alisema raia wa India, Mankombu Sambasivan Swaminathan, aliyekuwa mbobevu wa masuala ya kilimo.

  6. Ushiriki wa CRDB kukuza uchumi, biashara na uwekezaji nchini

    Hesabu za mwaka uliopita (2023) zilionyesha kuwa jumla ya rasilimali za benki ya CRDB zimeongezeka kwa asilimia 14 kutoka Sh11.6 trilioni mwaka 2022 hadi Sh13 trilioni, huku amana za wateja...

  7. Miaka mitatu ya Dkt Samia na maendeleo katika sekta ya bima

    Ndugu msomaji wa ukurasa huu wa Kamishna wa Bima kari¬bu kwa mara nyingine ambapo leo tunaangazia maendeleo katika sekta ya bima kwa kipin¬di cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Dkt Samia Suluhu...

  8. NASHCoP: Mapambano dhidi ya VVU, UKIMWI, magonjwa ya ngono na homa ya ini ni jumuishi na endelevu

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya UKIMWI (UNAIDS) kwa mwaka 2023 liliitangaza Tanzania kuwa ni nchi iliyofikia makubaliano ya kimataifa ya 95 Tatu kabla ya muda...

  9. Kusheherekea urithi wa matumaini: Dk Jane Goodall afikisha umri wa miaka 90

    Tunafuraha na heshima kubwa kuwaletea mwanahistoria na mtafiti mashuhuri wa sokwemtu na mwanaharakati wa kuhifadhi mazingira, Dk Jane Goodall. Kwa zaidi ya miaka 60 iliyopita, Jane Goodall...

  10. Mwanamke ni mwarobaini wa changamoto za huduma za maji safi na usafi wa mazingira

    Dar es Salaam. Maji ni rasilimali muhimu kwa ajili ya ustawi wa jamii na maendeleo kwa ujumla. Amani haitawali, pahali pasipo na maji. Ndiyo maana Umoja wa Mataifa (UN), kuelekea...

  11. Mjane alivyokuza kipato kupitia mpango wa kidigitali kutoka Yara Tanzania

    Mpunga ni miongoni mwa zao muhimu la chakula hapa nchini na limekuwa likilimwa zaidi katika mikoa ya Mbeya, Morogoro, Shinyanga, Mwanza na baadhi ya maeneo katika Mkoa wa Kilimanjro.

  12. Tanzania na Japan: Balozi wa Japan aangazia urafiki na ushirikiano wa muda mrefu

    Wakati tukisherehekea siku ya kuzaliwa ya Mfalme, hebu tufanye tafakuri ya urafiki kati ya Japan na Tanzania ambao umeendelea kuimarika kwa miongo kadhaa, pamoja na mustakabali wetu.

  13. Mugalla: Upatikanaji wa haki za kijamii ni kazi endelevu

    Ukurasa mpya umefunguliwa kwa ukanda wa Afrika Mashariki baada ya kumpata Mkurugenzi Mkaazi mpya wa Shirika la Kazi Duniani (ILO), Bi Caroline Khamati Mugalla ambaye atakuwa akisimamia shughuli...

  14. Waziri Mkuu azindua Chuo cha CUoM baada ya kupandishwa hadhi na TCU

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi kukipandisha Chuo Kikuu cha Katoliki Mbeya (CUoM) kinachomilikiwa na Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).

  15. Salamu za Mwaka Mpya za Balozi wa China nchini Tanzania

    Muda unavyokwenda haraka! Mwaka 2024 unakuja kama ilivyopangwa. Kwa niaba ya Ubalozi wa China nchini Tanzania, napenda kutoa salamu zetu za dhati na kuwatakia heri ya mwaka mpya Wachina wenzangu...

  16. Mazingira bora kwa wafanyakazi yaibeba East-West Seed tuzo za mwajiri bora

    Tuzo ni njia muhimu ya kutambua na kuthamini mafan¬ikio katika maeneo mbalimbali ya maisha yetu. Inaweza kuwa ni kwenye sanaa, michezo, sayansi, au hata maendeleo ya kijamii. Tuzo hutoa motisha...

  17. Uwekezaji wa Carbon Tanzania katika misitu ya asili na safari  kuelekea kwenye utunzaji misitu endelevu

    Tanzania kwa sasa iko katika safari ya mabadiliko kuelekea maendeleo endelevu ikiwa na mipango mipya ya soko la kaboni. Mdau muhimu katika safari hii ni Carbon Tanzania, Kampuni inayoongoza...

  18. Ushiriki wa Repoa katika mnyororo wa thamani kuongeza uzalishaji, upanuzi wa viwanda na biashara

    Maana halisi ya uwezo wa uzalishaji na ukuaji wa uzalishaji kutoka kwenye mashirika/taasisi husika za kimataifa: Michakato ya kukuza uwezo wa uzalishaji kwa ajili ya upanuzi wa viwanda na...

  19. Majadiliano ya COP28 yadhamiria kuziwezesha jamii za asili ustawi na maendeleo

    Katika harakati za kuleta mabadiliko chanya na uwezeshaji wa kifedha kwa wananchi wake, Serikali ya Tanzania imetengeneza ushirikiano wa kimkakati na taasisi za ndani na za kimataifa.

  20. Smart Gin inaunga mkono juhudi za kukuza uchumi kupitia ulipaji kodi

    Kodi ni msingi wa maendeleo ya Taifa kwa sababu ndizo zinazotumika katika kutengeneza ustawi wa Taifa kwa kuboresha huduma za jamii na miundombinu.