Mwalimu mkuu jela miaka 30 kwa kubaka, kumpa mimba mwanafunzi Kabla ya kutaja adhabu hakimu alimtaka mshtakiwa atamke ni kwa nini asipatiwe adhabu kali kutokana na kosa alilolifanya

Mafuriko yachelewesha kufungua shule Kenya Watu 76 wamepoteza maisha nchini Kenya tangu Machi, huku mvua kubwa kuliko kawaida ikinyesha Afrika Mashariki, ikichangiwa na mufumo wa hali ya hewa wa El Nino.