Rais wa Iran, Waziri wa Mambo ya Nje wafariki ajali ya helikopta Televisheni ya taifa ya Iran imethibitisha kifo cha Rais wa nchi hiyo Ebrahim Raisi aliyefariki dunia kwenye ajali ya helkopta iliyotokea hapo jana Mei 19, 2024.
PRIME Hivi ndivyo walivyojipanga wagombea ngazi ya kanda Chadema Wamesema uchaguzi huo utakuwa na ushindani, tofauti na mwingine wowote awali, kwa sababu unawakutanisha wagombea waliowahi kufanya kazi pamoja kwa nyakati tofauti, katika kanda na Kamati Kuu ya...
PRIME Simulizi meli ya Mv Clarias ilivyopinduka Mwanza, uchunguzi waanza Januari 2024 meli ya Mv Clarias inayofanya safari zake ndani ya Ziwa Victoria ilikuwa inatoa huduma mara mbili kwa wiki kati ya Mwanza na kisiwa cha Goziba, Muleba mkoani Kagera (Jumatatu na...
Wasiwasi kifo cha Askofu anayedaiwa kujinyonga wawaibua tena Polisi Askofu Bundala alikutwa amekufa akidaiwa jinyonga kwa kutumia waya wa simu Mei 16, 2024 ndani ya choo cha ofisi yake, iliyopo kwenye kanisa la Methodist, Mtaa wa Ipagala A jijini Dodoma.
CCM yateua mgombea Kwahani, mrithi wa Jokate Hatua hiyo imetokana na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kutangaza uchaguzi mdogo katika jimbo la hilo, baada ya aliyekuwa mbunge wake (CCM), Ahmada Yahya Shaa kufarini dunia Aprili 8, mwaka...
PRIME Mchakato mrefu unavyowakosesha bodaboda wengi leseni Mchakato mrefu na tozo miongoni mwa sababu za madereva wengi wa pikipiki maarufu bodaboda kutokuwa na mafunzo wala leseni za udereva, hivyo kuchangia ongezeko la ajali za barabarani...
Huyu ndiye Rais wa mpito wa Iran Kwa mujibu wa Katiba ya Iran, iwapo Rais atafariki akiwa madarakani, kifungu cha 131 kinasema makamu wa kwanza wa Rais ndiye atakayeshika madaraka,
Wadau wakubaliana kupunguza gharama za tiketi za ndege Afrika Hayo yamebainishwa jana Ijumaa Mei 17 2024 katika kongamano la usafiri wa anga lililojumuisha wadau 200 wa anga kutoka nchi 10, uliofanyika visiwani Zanzibar kwa siku tatu
Wagombea Chadema waanza kusaka kura Harakati za kampeni za siku 12 za kusaka kura za uenyekiti wa kanda nne za Chadema zimepamba moto huku wagombea wakitumia mitandao ya kijamii kuwafikia wapigakura
PRIME Biashara ya mkaa pasua kichwa, yafikia Sh69.9 bilioni Wakati dunia ikiendelea kupigia chapuo matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa ajili ya kulinda mazingira, hali bado ni tete kwa upande wa Tanzania, ambayo uuzaji wa mkaa umeongezeka kwa karibia...
Kisa Klopp, Guardiola atoa machozi Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola jana alimwaga machozi baada ya kuulizwa swali kuhusu kuondoka kwa meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp
Jux alivyomfungulia dunia Mimi Mars Kwa miaka zaidi ya 10 Jux amekuwa na mwendelezo wa kufanya vizuri katika Bongofleva akitamba hasa katika miondoko ya RnB na Amapiano hadi kuijenga chapa na himaya yake kama staa mkubwa wa muziki...
Sheria zipitiwe kukomesha ukatili Kwa takriban wiki nzima sasa imekuwepo mijadala inayoenda sambamba na maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani, ambayo imegusa masuala mtambuka na hasa ukatili kwenye jamii, hususan kwa watoto.
Wanandoa watofautishe kupenda na kutaka Kila mtu humpenda mwingine. Vivyo hivyo, anaweza kumtaka au kutakiwa na mwingine. Hakuna asiyejua kupenda ingawa si wote wanaopenda ifaavyo na inavyotakiwa. Muhimu ni kujua kupenda na kutaka ni...