Serikali yaongeza siku tano za kuomba kazi Polisi Waziri Masauni amesema iwapo changamoto ya intaneti itaendelea, Serikali itaangalia namna ya kufanya ili kuwasaidia waombaji kufikia malengo.
PRIME Mahamat Deby anavyobeba mustakabali wa Chad Uchaguzi uliomwingiza madarakani ulifanyika katika mazingira ya hofu na kulikuwa na ripoti kuhusu udanganyifu siku ya uchaguzi.
PRIME Hoja tano zilizoibua hisia Bunge la Bajeti Hoja hizo ni pamoja na kuondolewa kwa fedha za kujikimu (boom) kwa wanafunzi wa elimu ya juu, tozo za bima ya afya, mawaziri kumpiga majungu mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina na wito wa wabakaji...
PRIME Hali si shwari kwenye familia Miaka ya karibuni, familia zimekumbwa na misukosuko kadhaa kutokana na kukosekana malezi imara
Atupwa jela miezi sita kwa kufunga ofisi za kijiji Moikani aliyekuwa mshtakiwa namba mbili katika kesi hiyo na wenzake watatu, wanadaiwa kutenda kosa hilo Januari 28, 2024 Saa 9 alasiri.
Tume ya Uchaguzi mguu sawa uchaguzi mkuu 2025 Kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, amesema daftari linatarajiwa kuwa na wapiga kura 34,746,638 kutoka wapiga kura 29,754,699 wa mwaka 2020 sawa na ongezeko la wapiga...
DC Siha: Toeni taarifa watumishi wanaochelewa kazini wachukuliwe hatua Mkuu huyo wa wilaya amesema kuchelewa vituo vya kazi ni kurudisha nyuma maendeleo ya wananchi.
Tume ya Uchaguzi mguu sawa uchaguzi mkuu 2025 Kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, amesema daftari linatarajiwa kuwa na wapiga kura 34,746,638 kutoka wapiga kura 29,754,699 wa mwaka 2020 sawa na ongezeko la wapiga...
PRIME Mahamat Deby anavyobeba mustakabali wa Chad Uchaguzi uliomwingiza madarakani ulifanyika katika mazingira ya hofu na kulikuwa na ripoti kuhusu udanganyifu siku ya uchaguzi.
Vodacom kurejesha vifurushi kwa walioshindwa kuvitumia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hali ya upatikanaji wa mtandao wa intaneti hadi mchana wa leo Mei 15, 2024 huduma zingerejea kwa kiwango cha kuridhisha.
Marefa Tanzania wapewa shavu FIFA Mwamuzi wa kimataifa wa Tanzania, Hery Sasii yeye ameteuliwa kuwa mwamuzi wa akiba katika mchezo huo.
Chino: nimejipata naweza kufanya chochote kwa pesa zangu Mkali wa muziki wa amapiano, Issaya Mtambo 'Chino Kidd' ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wa Binadamu amesema licha ya changamoto ya ushindani kwenye sanaa amejipata anaweza kufanya kila kitu...
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mambo matano ya kufanya unapokutana tena na mpenzi uliyeachana naye Dakika chache za kwanza tunapokutana na wapenzi wetu baada ya kuachana kwa kitambo kifupi zina umuhimu.