PRIME Kanuni za uchaguzi bado kizungumkuti Licha ya kutungwa kwa sheria tatu zinazohusu uchaguzi, baadhi ya wadau wanazipinga wakisema hazijazingatia maoni ya wadau yaliyosababisha kuwepo kwa malalamiko katika chaguzi za mwaka 2019 na 2020
PRIME Wanayopitia wanaume, wanawake wanaoachana kumtunza mtoto Hivi karibuni, gazeti hili liliripoti taarifa ya baba wa kambo aliyemuua mtoto wa mke wake na kuufukia mwili wake kwenye shimo la takataka, kwa kile kinachodaiwa alihisi mama wa mtoto huyo ana...
Wanandoa watofautishe kupendana na kutaka Kupenda ni kujitoa muhanga (risk) kwa ajili ya umpendaye. Mfano, wawili wanapopendana na kuamua kufunga ndoa, kwanza, wanatarajia kuishi na kuwa pamoja si kwa muda mfupi, bali wa kudumu.
Utata askofu aliyedaiwa kujinyonga Msemaji wa familia ya marehemu, Tito Kasuga amesema leo kuwa wana wasiwasi juu ya kifo cha ndugu yao kutokana na mazingira ambayo waliyakuta katika eneo la tukio.
ANTI BETTIE: Usitafute maisha ukasahau kuishi, acha kulalamika Nilifunga ndoa na mwenza wangu miaka sita iliyopita. Wakati huo ndiyo kwanza alikuwa ameanza kazi, kwa juhudi zake na elimu aliyonayo amepanda vyeo na sasa ni mtu mkubwa tu anapofanyia...
Sababu Songwe kuongoza mimba za utotoni Mimba za utotoni katika mikoa ya Songwe na Katavi huchangiwa na sababu kadhaa zikiwamo ukosefu wa elimu ya afya ya uzazi, umasikini na mila na desturi
TRA yapiga ‘stop’ magari kuegeshwa vituo vya mafuta Mbali na vituo vya mafuta TRA imesema sehemu yoyote ambayo haijaidhinishwa au kupata ruhusa kutoka kwa Kamishna wa Forodha na Ushuru wa Bidhaa magari hayo hayapaswi kuegeshwa
Wadau wakubaliana kupunguza gharama za tiketi za ndege Afrika Hayo yamebainishwa jana Ijumaa Mei 17 2024 katika kongamano la usafiri wa anga lililojumuisha wadau 200 wa anga kutoka nchi 10, uliofanyika visiwani Zanzibar kwa siku tatu
Wagombea Chadema waanza kusaka kura Harakati za kampeni za siku 12 za kusaka kura za uenyekiti wa kanda nne za Chadema zimepamba moto huku wagombea wakitumia mitandao ya kijamii kuwafikia wapigakura
PRIME Biashara ya mkaa pasua kichwa, yafikia Sh69.9 bilioni Wakati dunia ikiendelea kupigia chapuo matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa ajili ya kulinda mazingira, hali bado ni tete kwa upande wa Tanzania, ambayo uuzaji wa mkaa umeongezeka kwa karibia...
Usiku wa wababe wa Afrika Es Tunis imefanikiwa kufika fainali mara nane, huku Al Ahly ikifika mara 14 kukiwa hakuna timu ambayo inazikaribia.
Bongo Movie ilivyowapa kisogo mamisi Tangu kuanzishwa kwa mashindano ya kusaka warembo, Miss Tanzania mwaka 1967 tayari imepita miaka 57, huku taji hilo likiwa limevaliwa na warembo 30 hadi kufikia mwaka 2023, ambapo lilichukuliwa...
Sheria zipitiwe kukomesha ukatili Kwa takriban wiki nzima sasa imekuwepo mijadala inayoenda sambamba na maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani, ambayo imegusa masuala mtambuka na hasa ukatili kwenye jamii, hususan kwa watoto.
ANTI BETTIE: Usitafute maisha ukasahau kuishi, acha kulalamika Nilifunga ndoa na mwenza wangu miaka sita iliyopita. Wakati huo ndiyo kwanza alikuwa ameanza kazi, kwa juhudi zake na elimu aliyonayo amepanda vyeo na sasa ni mtu mkubwa tu anapofanyia...