Frateri wa Kanisa Katoliki Tanga adaiwa kujinyonga “Taarifa za awali tulizozipata zinadai sababu ya kujinyonga kwa mwanafunzi (frateri) huyo, walikuwa na mitihani ya kuvuka kutoka ngazi moja, kwenda mwaka mwingine, sasa katika wenzake wote yeye...
PRIME VIDEO: Sababu kufanyika ibada ya wafu makaburi ya Igoma Mei 21 kila mwaka Meli ya MV Bukoba ilipata ajali Mei 21, 1996 kilomita zisizozidi mbili kutoka eneo la Bwiru wilayani Ilemela mkoani Mwanza, meli hiyo ilikuwa ikitokea Bukoba mkoani Kagera.
Maelfu wajitokeza kumzika Raisi wa Iran, wengine washerehekea Umati huo wa watu ulilazimika kulipisha njia lori jeupe lililokuwa limebeba majeneza ya Raisi na waziri wake wa mambo ya nje Hossein Amir Abdollahian pamoja na watu wengine saba waliopoteza...
Ngoma bado ngumu kuinasua Mv Clarias majini Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza, Kamila Laban amesema vikosi vya uokoaji viko eneo la tukio kutoa usaidizi wa kuinasua meli hiyo tangu siku ya kwanza.
Hali bado tete kijiji kilichozungukwa na maji Manyara Ziwa Manyara limejaa na kutema maji kwenye kijiji hicho na kusababisha watu hao 600 kukosa makazi.
PRIME Walioua, kuteketeza ndugu wawili kwa petroli wahukumiwa kunyongwa Hukumu hiyo ya kunyongwa hadi kufa, imetolewa leo Jumanne Mei 21, 2024 na Jaji Adrian Kilimi wa Mahakama Kuu Kanda ya Moshi.
PRIME Walioua, kuteketeza ndugu wawili kwa petroli wahukumiwa kunyongwa Hukumu hiyo ya kunyongwa hadi kufa, imetolewa leo Jumanne Mei 21, 2024 na Jaji Adrian Kilimi wa Mahakama Kuu Kanda ya Moshi.
Utafiti kufanyika kubaini sumu ya samaki aina ya kasa Hatua hiyo inakuja baada ya kutokea vifo na wengine kulazwa hospitalini baada ya kula nyama ya kasa katika visiwa vya Unguja na Pemba ambapo tukio la Machi 5, mwaka huu walikufa watu tisa na...
Msigwa, Sugu wanavyopishana wakisaka kura Wakati Mchungaji Peter Msigwa akianza na Mbeya kusaka kura kutetea nafasi ya uenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, mpinzani wake, Joseph Mbilinyi 'Sugu' tayari amemaliza mikoa ya Rukwa na Songwe...
Kimbunga Ialy chapandisha bei ya samaki Dar Wakati wachuuzi wakilalamikia changamoto hiyo, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) jana Jumatatu Mei 20,2024, ilitabiri kimbunga “IALY” kilichotarajiwa kufika katika Pwani ya bahari ya Hindi...
MCL, La Liga zatoa vifaa Umitashumta Vifaa ambavyo vimetolewa ni jezi, skafu, bukta, kofia, mabegi, viatu na mipira kwa ajili ya wanafunzi kuvitumia katika michezo mbalimbali ambayo wanashiriki ikiwemo mpira wa miguu kwa wanaume na...
Chanzo Msamiati kutumia lugha ya Kinyakyusa kwenye nyimbo zake Wasanii wengi wanaotamani kuvuka mipaka na kufanikiwa kimataifa, hufanya jitihada mbalimbali ikiwemo kuiga ladha na lugha za mataifa mengine ili kuyafikia mafanikio hayo.
Sheria zipitiwe kukomesha ukatili Kwa takriban wiki nzima sasa imekuwepo mijadala inayoenda sambamba na maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani, ambayo imegusa masuala mtambuka na hasa ukatili kwenye jamii, hususan kwa watoto.
Wanandoa watofautishe kupenda na kutaka Kila mtu humpenda mwingine. Vivyo hivyo, anaweza kumtaka au kutakiwa na mwingine. Hakuna asiyejua kupenda ingawa si wote wanaopenda ifaavyo na inavyotakiwa. Muhimu ni kujua kupenda na kutaka ni...