Serikali yaongeza siku tano za kuomba kazi Polisi Waziri Masauni amesema iwapo changamoto ya intaneti itaendelea, Serikali itaangalia namna ya kufanya ili kuwasaidia waombaji kufikia malengo.
PRIME Mahamat Deby anavyobeba mustakabali wa Chad Uchaguzi uliomwingiza madarakani ulifanyika katika mazingira ya hofu na kulikuwa na ripoti kuhusu udanganyifu siku ya uchaguzi.
VIDEO: Sakata la kuingia Zanzibar kwa pasipoti laibuka tena Masauni amesema Mtanzania ana haki ya kwenda popote, ndiyo maana hatutumii hati ya kusafiria kwa ajili ya mzunguko au matembezi ya ndani ya nchi.
PRIME Hali si shwari kwenye familia Miaka ya karibuni, familia zimekumbwa na misukosuko kadhaa kutokana na kukosekana malezi imara
‘Tuma kwa namba hii’ kukiona cha moto Kamanda Muliro amewataja waliokamatwa kuwa ni Pius Boniface (29) mkazi wa Eden, wakala wa kusajili laini za simu; Ezekiel Frank (30) mkazi wa Mikonko Mbalika ambaye ni dereva wa bodaboda na...
Tume ya Uchaguzi mguu sawa uchaguzi mkuu 2025 Kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, amesema daftari linatarajiwa kuwa na wapiga kura 34,746,638 kutoka wapiga kura 29,754,699 wa mwaka 2020 sawa na ongezeko la wapiga...
VIDEO: Waitara aliamsha bungeni, adai TRA Sirari wanatembeza vipigo Asema kwenye magari yao wana mipini ya jembe, wanapiga vijana wa Tarime
Tume ya Uchaguzi mguu sawa uchaguzi mkuu 2025 Kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, amesema daftari linatarajiwa kuwa na wapiga kura 34,746,638 kutoka wapiga kura 29,754,699 wa mwaka 2020 sawa na ongezeko la wapiga...
PRIME Mahamat Deby anavyobeba mustakabali wa Chad Uchaguzi uliomwingiza madarakani ulifanyika katika mazingira ya hofu na kulikuwa na ripoti kuhusu udanganyifu siku ya uchaguzi.
TRA yaja na kibano kwa wanaokwepa kutoa risiti Kwa muda mrefu Serikali imekuwa na kilio kwa wafanyabiashara wanaokwepa kodi kwa kuacha kutoa risiti za bidhaa au huduma wanazotoa na wengine hutoa risiti pungufu.
Marefa Tanzania wapewa shavu FIFA Mwamuzi wa kimataifa wa Tanzania, Hery Sasii yeye ameteuliwa kuwa mwamuzi wa akiba katika mchezo huo.
Angel Nyigu ana jambo lake na Rayvanny Mnenguaji, Angel Nyigu amefichua kwamba hana ndoto wala mpango wa kuwa mwanamuziki lakini amemtaja msanii wa kundi la WCB, Raymond Shaban 'Rayvanny' kuwa ndiye aliyemfanya ajulikane
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mambo matano ya kufanya unapokutana tena na mpenzi uliyeachana naye Dakika chache za kwanza tunapokutana na wapenzi wetu baada ya kuachana kwa kitambo kifupi zina umuhimu.