PRIME Tamu, chungu kufungwa kwa Ziwa Tanganyika Uchunguzi wa Mwananchi umebaini baadhi ya mikoa dagaa wa Kigoma hawapatikani na sababu ikitajwa ni bei na upatikanaji wake.
TMA yatoa taarifa uwepo wa kimbunga “IALY” Bahari ya Hindi Taarifa hiyo inakuja katika kipindi ambacho, Tanzania ipo katika kumbukumbu za maafa yaliyosababishwa na kimbunga Hidaya kilichotokea kuanzia Mei 2 hadi 5, mwaka huu.
PRIME Chumvi inavyochochea shinikizo la juu la damu Iwapo unataka kuepuka shinikizo la juu la damu na maradhi yanayoambatana na ugonjwa huo, wataalamu wameeleza mambo matano mtu unayopaswa kuyafuata kuepuka tatizo hilo wanalolitaja ni ‘muuaji msiri.’
Askofu ajinyonga chanzo kikidaiwa ni madeni Tukio hilo lilitokea jana Mei 16 saa moja usiku, kwenye choo cha ofisi yake, iliyoko ndani ya kanisa la Methodist, Meriwa jijini Dodoma.
Lissu akabidhiwa gari lake lililoshambuliwa kwa risasi Gari hilo alilokabidhiwa leo, Mei 17, 2024 lilikuwa limehifadhiwa katika yadi ya Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma tangu Septemba 7, 2017 aliposhambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana nyumbani...
Mtindo wa maisha unavyowaweka hatarini wavuvi kupata homa ya ini Katika mahojiano na baadhi ya wakazi wa mikoa ya Mara, Shinyanga na Mwanza, wavuvi na wachimba madini wanatajwa kuwa katika hatari zaidi ya kupata ugonjwa wa homa ya ini kutokana na mtindo wao wa...
Watu wenye ulemavu wadai waajiri hawafuati Sheria ya Ajira Watu wenye ulemavu wamedai kuwa kuna ukiukwaji wa Sheria ya Ajira inayoelekeza kampuni na mashirika kuajiri angalau wafanyakazi watatu wa kundi hilo kati ya 20
Wadau wakubaliana kupunguza gharama za tiketi za ndege Afrika Hayo yamebainishwa jana Ijumaa Mei 17 2024 katika kongamano la usafiri wa anga lililojumuisha wadau 200 wa anga kutoka nchi 10, uliofanyika visiwani Zanzibar kwa siku tatu
Wagombea Chadema waanza kusaka kura Harakati za kampeni za siku 12 za kusaka kura za uenyekiti wa kanda nne za Chadema zimepamba moto huku wagombea wakitumia mitandao ya kijamii kuwafikia wapigakura
PRIME Biashara ya mkaa pasua kichwa, yafikia Sh69.9 bilioni Wakati dunia ikiendelea kupigia chapuo matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa ajili ya kulinda mazingira, hali bado ni tete kwa upande wa Tanzania, ambayo uuzaji wa mkaa umeongezeka kwa karibia...
Usiku wa wababe wa Afrika Es Tunis imefanikiwa kufika fainali mara nane, huku Al Ahly ikifika mara 14 kukiwa hakuna timu ambayo inazikaribia.
Bongo Movie ilivyowapa kisogo mamisi Tangu kuanzishwa kwa mashindano ya kusaka warembo, Miss Tanzania mwaka 1967 tayari imepita miaka 57, huku taji hilo likiwa limevaliwa na warembo 30 hadi kufikia mwaka 2023, ambapo lilichukuliwa...
Sheria zipitiwe kukomesha ukatili Kwa takriban wiki nzima sasa imekuwepo mijadala inayoenda sambamba na maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani, ambayo imegusa masuala mtambuka na hasa ukatili kwenye jamii, hususan kwa watoto.
Dk Tamim daktari ambaye hakugoma madaktari walipogoma 2012 Alipoulizwa kwa nini hakugoma alijibu… ‘’Mimi siwezi kugoma kwa sababu wako wale wagonjwa wametoka mbali sana mfano wa Chamazi kabadili mabasi hadi kafika Muhimbili akitegemea tiba