Baada ya mvua sasa Kimbunga Hidaya, fanya mambo haya kwa usalama wako Baada ya mfululizo wa mvua kwa takriban miezi saba, baadhi ya mikoa nchini inatarajiwa kukumbwa na kimbunga Hidaya kwa siku tano mfululizo.
Moto wateketeza nyumba Tabata, gari la Zimamoto lakwama kuifikia Moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeteketeza nyumba eneo la Tabata Kisiwani, Dar es Salaam.
Rais Ruto amteua Kahariri kuwa CDF Kenya Mabadiliko hayo na uteuzi huo wa CDF umeidhinishwa kwenye mkutano wa Baraza la Idara ya Ulinzi chini ya uenyekiti wa Waziri wa Ulinzi Aden Duale.
PRIME Sababu za wajawazito kuvimba uso, miguu hizi hapa Miongoni mwa mambo ambayo hujitokeza kwa baadhi ya wajawazito katika kipindi cha miezi minne mpaka tisa, ni kuvimba pua, uso na wengine miguu.
Madereva Tanga – Horohoro wagoma, kisa hiki hapa Wasema nauli ya Sh3, 200 haina faida wanataka abiria walipe Sh3, 500.
Suala la malipo wastaafu iliyokuwa Jumuiya Afrika Mashariki laibuka upya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kama wapo wanaodai wawasilishe madai kwa mwajiri wao.
PRIME Sababu za wajawazito kuvimba uso, miguu hizi hapa Miongoni mwa mambo ambayo hujitokeza kwa baadhi ya wajawazito katika kipindi cha miezi minne mpaka tisa, ni kuvimba pua, uso na wengine miguu.
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 20 ya Poland ndani ya Umoja wa Ulaya Leo, Mei Mosi, Poland inaadhimisha miaka 20 tangu ilipojiunga na Umoja wa Ulaya (EU) mwaka 2004. Kipindi hicho, ilipokea kundi kubwa la nchi 10 za Ulaya Mashariki na Kati, ikiwemo Poland ambazo...
Namna lugha inavyoweza kuathiri biashara ya huduma za kifedha Kiswahili ni lugha kuu inayotumika na Watanzania wengi wanaotumia huduma rasmi za kifedha nchini. Taarifa za Ripoti ya Utafiti wa Maoni ya Watumiaji wa Huduma za Kifedha nchini (Finscope,2023)...
Guede awafunika Mzize, Musonda Yanga Ni kama gari limewaka zaidi kwa mshambuliaji wa Yanga, Joseph Guede ambaye hivi sasa namba zake zinambeba na kumfanya kuwa mchezaji hatari kwenye kikosi cha timu hiyo kinachonolewa na Kocha...
Davido, Wizkid kama Diamond na Konde hapatoshi Wanamuziki kutoka nchini Nigeria, Davido pamoja na Wizkid wapo katika bifu zito, baada ya shabiki wa Wizkid katika mtandao wa X (zamani Twitter) kumuomba msanii huyo atoe ngoma mpya ambapo Wizkid...
PRIME Kwa nini tusiwapoteze wanaotaka kutupoteza? Japo walijulikana, watu wasiojulikana walijulikana kwa unyama na ushenzi wao enzi zile za ubabe na uungu ngurumbili. Kuna mafyatu walipotezwa na mafyatu wasiojulikana bila hata kujulikana...
Hii ndiyo elimu itakayokomesha ajira zinazodhalilisha Watanzania nje Kuna uwezekano mkubwa wa kuzuia Watanzania kudhalilika nje, ikiwa mfumo wa elimu utawawezesha kuwa na uwezo wa kujiajiri au kurandana na mahitaji ya soko.