TMA: Kimbunga Hidaya kinaendelea kusogea, kuimarika Kinatazamiwa kusababisha vipindi vya mvua kubwa na upepo mkali katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Dar es Salaam, Tanga, Morogoro, visiwa vya...
Fahamu madhara ya kunywa pombe bila kula Kama wewe ni mnywaji wa pombe zinazotengenezwa kwa ngano au pombe kali, soma hapa kwa makini.
Baba jela miaka 30 kwa kumpondaponda nyeti mtoto wa kufikia Mahakahama ya Hakimu Mkazi Morogoro imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela Mohamed Omary Salange (37), baada ya kumkuta na hatia katika kosa la ukatili dhidi ya mtoto wake wa kufikia, mwenye umri...
PRIME Sababu za wajawazito kuvimba uso, miguu hizi hapa Miongoni mwa mambo ambayo hujitokeza kwa baadhi ya wajawazito katika kipindi cha miezi minne mpaka tisa, ni kuvimba pua, uso na wengine miguu.
Gamondi hajapoa, amuulizia Fabrice Ngoma Simba msimu huu imekuwa na kiwango ambacho hakiwafurahishi mashabiki wake lakini kuna wachezaji ambao wamekuwa vipenzi vya mashabiki na wanaamini kama wataendelea kuwepo, miamba hiyo ya Ligi Kuu...
Serikali yataka subira magari ya Zanzibar kutambulika Bara Yasema baada ya kupokea maoni ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), mapendekezo hayo yatawasilishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa hatua zaidi.
Mjue koala, mnyama anayelala saa 22 kwa siku Licha ya kuishi msituni, koala ni wanyama rafiki kwa binadamu. Wanakadiriwa kuwepo duniani kwa miaka zaidi ya milioni 25.
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 20 ya Poland ndani ya Umoja wa Ulaya Leo, Mei Mosi, Poland inaadhimisha miaka 20 tangu ilipojiunga na Umoja wa Ulaya (EU) mwaka 2004. Kipindi hicho, ilipokea kundi kubwa la nchi 10 za Ulaya Mashariki na Kati, ikiwemo Poland ambazo...
Namna lugha inavyoweza kuathiri biashara ya huduma za kifedha Kiswahili ni lugha kuu inayotumika na Watanzania wengi wanaotumia huduma rasmi za kifedha nchini. Taarifa za Ripoti ya Utafiti wa Maoni ya Watumiaji wa Huduma za Kifedha nchini (Finscope,2023)...
Gamondi hajapoa, amuulizia Fabrice Ngoma Simba msimu huu imekuwa na kiwango ambacho hakiwafurahishi mashabiki wake lakini kuna wachezaji ambao wamekuwa vipenzi vya mashabiki na wanaamini kama wataendelea kuwepo, miamba hiyo ya Ligi Kuu...
Davido, Wizkid kama Diamond na Konde hapatoshi Wanamuziki kutoka nchini Nigeria, Davido pamoja na Wizkid wapo katika bifu zito, baada ya shabiki wa Wizkid katika mtandao wa X (zamani Twitter) kumuomba msanii huyo atoe ngoma mpya ambapo Wizkid...
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Hii ndiyo elimu itakayokomesha ajira zinazodhalilisha Watanzania nje Kuna uwezekano mkubwa wa kuzuia Watanzania kudhalilika nje, ikiwa mfumo wa elimu utawawezesha kuwa na uwezo wa kujiajiri au kurandana na mahitaji ya soko.