Kimbunga, mvua kubwa mikoa 20 yatarajiwa usiku wa leo Wakati hali ya upepo mkali ikiendelea kushuhudiwa katika baadhi ya mikoa ya ukanda wa Pwani na Kusini unaosababishwa na kimbunga Hidaya, Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imesema mvua zinatarajia...
Kwa nini vimbunga vingi hupewa majina ya kike? Hata kimbunga cha sasa, kinachotazamiwa kupiga katika pwani ya Bahari ya Hindi kusini mwa Tanzania kati ya Leo Mei 3 na Mei 6, 2024, nacho kimeitwa Hidaya.
PRIME Takukuru kujitosa madai ya rushwa uchaguzi ndani ya Chadema Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Salum Hamduni amesema taasisi yake inafuatilia taarifa hizo na si lazima zipelekwe kiofisi.
Ndugu, majirani aliyempondaponda nyeti mtoto wa mkewe wafurahia hukumu Siku moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela Mohamed Salange (37) kwa kosa la kumfanyia ukatili mtoto wake wa kufikia mwenye umri wa miaka tisa, baadhi...
Watuhumiwa kulinda bangi wanazolima kwa 'bunduki' Mamlaka ya Kuthibiti na Kupambana na Dawa ya Kulevya (DCEA), imewakamata watu 18 kwa kuhusika na kilimo cha bangi huku wawili kati yao wakikamatwa na magobore waliyokuwa wakiyatumia kulinda...
Uongozi Kariakoo, wafanyabiashara wavutana Wakati wowote ujenzi wa Soko Kuu la Kariakoo ulioanza mwaka 2022 utakamilika ili kutoa fursa kwa wafanyabiashara kufanya shughuli zao kuku kukiwa na malalamiko ya wadau ya kutoshirikishwa katika...
Matukio ya ubakaji yazidi kutikisa Mwanza Yanafuatiwa na ya mimba ambazo jumla ya wanafunzi 534 wameripotiwa kubeba ujauzito wakiwa suleni kwa kipindi kama hicho.
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 20 ya Poland ndani ya Umoja wa Ulaya Leo, Mei Mosi, Poland inaadhimisha miaka 20 tangu ilipojiunga na Umoja wa Ulaya (EU) mwaka 2004. Kipindi hicho, ilipokea kundi kubwa la nchi 10 za Ulaya Mashariki na Kati, ikiwemo Poland ambazo...
Namna lugha inavyoweza kuathiri biashara ya huduma za kifedha Kiswahili ni lugha kuu inayotumika na Watanzania wengi wanaotumia huduma rasmi za kifedha nchini. Taarifa za Ripoti ya Utafiti wa Maoni ya Watumiaji wa Huduma za Kifedha nchini (Finscope,2023)...
Gamondi hajapoa, amuulizia Fabrice Ngoma Simba msimu huu imekuwa na kiwango ambacho hakiwafurahishi mashabiki wake lakini kuna wachezaji ambao wamekuwa vipenzi vya mashabiki na wanaamini kama wataendelea kuwepo, miamba hiyo ya Ligi Kuu...
Mke wa Mohbad akanusha kupima dna kwa siri Omowunmi Aloba, maarufu Wunmi mke wa marehemu msanii kutoka nchini Nigeria Mohbad amekanusha kufanya vipimo vya siri vya nasaba deoxyribonucleic acid (DNA) kwa mwanaye, Liam Mohbad.
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Hii ndiyo elimu itakayokomesha ajira zinazodhalilisha Watanzania nje Kuna uwezekano mkubwa wa kuzuia Watanzania kudhalilika nje, ikiwa mfumo wa elimu utawawezesha kuwa na uwezo wa kujiajiri au kurandana na mahitaji ya soko.