PRIME Huduma nyeti za intaneti zilivyosimama Suala la satelaiti linaungwa mkono na wengi hususani watumiaji kuwa linaweza kuwa suluhu ya changamoto ya mtandao iliyojitokeza kama kuwapo huduma ya mtandao wa intaneti iliyotaka kuanzishwa na...
PRIME Bima ya afya kwa wote, tusubiri kwanza Akifafanua zaidi matumizi ya fedha hizo, amesema, “kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote nchini, ikiwemo mfumo wa utambuzi wa wanufaika pamoja na kutoa elimu kwa wananchi...
Sh500 bilioni kutumika kuboresha miundombinu Muhimbili Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hayo leo Jumanne Mei 14, 2024 alipojibu swali la mbunge wa Konde, Mohamed Said Issa.
Fukwe Zanzibar zatengewa Sh661 milioni Serikali yahojiwa ina mpango gani wa kutengeneza fukwe za bahari zilizoathirika upande wa Zanzibar.
Tanzania ina uhaba wa wataalamu dawa za usingizi, ganzi 1,200 Mpaka sasa nchi ina madaktari bingwa wa dawa za usingizi na ganzi 85 pekee, licha ya kuwa na vituo vya afya vya umma 9,610.
Chungu na tamu ongezeko la maji Ziwa Victoria, Tanganyika Hii ni baada ya wavuvi zaidi ya 100,000 mkoani Kigoma kudaiwa kuathirika na ongezeko hilo huku kaya 214 za Muleba Mkoa wa Kagera zikikosa vyoo.
Sh500 bilioni kutumika kuboresha miundombinu Muhimbili Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hayo leo Jumanne Mei 14, 2024 alipojibu swali la mbunge wa Konde, Mohamed Said Issa.
Fukwe Zanzibar zatengewa Sh661 milioni Serikali yahojiwa ina mpango gani wa kutengeneza fukwe za bahari zilizoathirika upande wa Zanzibar.
Mambo matatu kuwakutanisha Chadema Dar kesho Uchaguzi wa kanda hizo za awali, umekuwa na mvutano, hususan Kanda ya Nyasa na kuna wagombea wawili maarufu wanaochuana ambao ni mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na...
Bei ya ufuta yafurahisha wakulima Amesema kuwa katika msimu uliopita alivuna tani 4.3 ambapo aliuza kwa Sh4,000 na mwaka huu ana matumaini kupata zaidi ya mavuno ya awali .
Yanga yachukua ubingwa wa tatu mfululizo Ligi Kuu Hii ni mara ya tatu mfululizo kwa Yanga kutwaa taji la Ligi Kuu baada ya kuchukua katika misimu ya 2021/2022 na 2022/2023.
Stive Wonder sasa ni raia wa Ghana Mwanamuziki wa Marekani Stevie Wonder sasa ni raia wa Ghana baada ya kula kiapo cha utii na kupokea cheti cha Uraia kutoka kwa Rais wa nchi hiyo Nana Akufo-Addo jana Mei 13, 2024.
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mambo matano ya kufanya unapokutana tena na mpenzi uliyeachana naye Dakika chache za kwanza tunapokutana na wapenzi wetu baada ya kuachana kwa kitambo kifupi zina umuhimu.