PRIME Bodaboda ‘Wauwanyau’ tishio jipya Baadhi ya madereva huwa katika hali ya uchovu na kukosa umakini barabarani, hivyo kusababisha ajali.
Uzembe watajwa chanzo cha ajali iliyoua saba Morogoro Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Mvomero, Francis Paul amesema wamepokea majeruhi saba na maiti sita kutokea eneo la tukio, mmoja alifariki baadaye.
PRIME Kikokotoo kilivyomtenda mstaafu Jeshi la Magereza Asema maisha yake yanafanana na digidigi kwa sasa, Kamishna Jenerali Jeshi la Magereza afafanua
Fukwe Zanzibar zatengewa Sh661 milioni Serikali yahojiwa ina mpango gani wa kutengeneza fukwe za bahari zilizoathirika upande wa Zanzibar.
Wizara yaombwa kuchunguza ubora wa maabara za udongo Wachimbaji wadogo wamesema wamekuwa wakipata hasara kutokana na majibu ya uongo wanayopatiwa na baadhi ya wajiolojia.
Samia ataja changamoto upatikanaji nishati safi Afrika Nishati safi ya kupikia kidunia inapatikana kwa asilimia sita kusini na kati ya Asia na zaidi ya asilimia 14 kwa Amerika ya Kusini na Caribbean.
Mchengerwa aagiza kusimamishwa watumishi watano Msalala, Ma-RC, DC Mchengerwa amesema mkulima anayesafirisha mazao chini ya tani moja amesamehewa kulipa ushuru.
Baraza la Wawakilishi kuanza kujadili bajeti kesho Maswali 291 yanatarajiwa kuulizwa na kupatiwa majibu
Mambo matatu kuwakutanisha Chadema Dar kesho Uchaguzi wa kanda hizo za awali, umekuwa na mvutano, hususan Kanda ya Nyasa na kuna wagombea wawili maarufu wanaochuana ambao ni mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na...
Bei ya ufuta yafurahisha wakulima Amesema kuwa katika msimu uliopita alivuna tani 4.3 ambapo aliuza kwa Sh4,000 na mwaka huu ana matumaini kupata zaidi ya mavuno ya awali .
Yanga yachukua ubingwa wa tatu mfululizo Ligi Kuu Hii ni mara ya tatu mfululizo kwa Yanga kutwaa taji la Ligi Kuu baada ya kuchukua katika misimu ya 2021/2022 na 2022/2023.
Stive Wonder sasa ni raia wa Ghana Mwanamuziki wa Marekani Stevie Wonder sasa ni raia wa Ghana baada ya kula kiapo cha utii na kupokea cheti cha Uraia kutoka kwa Rais wa nchi hiyo Nana Akufo-Addo jana Mei 13, 2024.
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mambo matano ya kufanya unapokutana tena na mpenzi uliyeachana naye Dakika chache za kwanza tunapokutana na wapenzi wetu baada ya kuachana kwa kitambo kifupi zina umuhimu.