Dili iliyokufa - 12 ILIPOISHIA Siku iliyofuata baada ya Wakwetu kuondoka nyumbani kwenda kazini kwake, Sharifa naye alitoka. Alikodi teksi iliyompeleka Kwaminchi kwa mwanawe. Alimkuta majaliwa akijiandaa kwenda...