Mose Iyobo ashindwa kulikwepa jina la Aunt Ezekiel KAMA kuna jambo ambalo limekuwa likijirudia kila Mose Iyobo anapoketi kufanya mahojiano, basi ni kurejea kwa jina la mzazi mwenzake, Aunt Ezekiel.
Geita Gold, Kagera Sugar zarejea Ligi Kuu Bara TIMU za Geita Gold na Kagera Sugar zimerejea Ligi Kuu Bara msimu ujao wa 2026-2026, baada ya kujihakikishia ushindi katika mechi zao za raundi ya 28, ambapo zimezifanya kufikisha pointi ambazo...