Arsenal yamkomalia beki wa PSG Mbemba Arsenal wameanza mawasiliano ya kumshawishi beki wa Paris Saint-Germain, Emmanuel Mbemba, kujiunga nao kwa uhamisho wa bure msimu huu.