Geita Gold, Kagera Sugar zarejea Ligi Kuu Bara TIMU za Geita Gold na Kagera Sugar zimerejea Ligi Kuu Bara msimu ujao wa 2026-2026, baada ya kujihakikishia ushindi katika mechi zao za raundi ya 28, ambapo zimezifanya kufikisha pointi ambazo...
Kiungo KMC FC mlangoni JKT Tanzania WAKATI KMC FC ikibakisha hatua chache kucheza Ligi ya Championship msimu ujao wa 2026-2027, nyota wa timu hiyo, Rashid Chambo ameanza kuzivutia klabu mbalimbali ili kuipata saini yake, huku...
Geita Gold, Kagera Sugar zarejea Ligi Kuu Bara TIMU za Geita Gold na Kagera Sugar zimerejea Ligi Kuu Bara msimu ujao wa 2026-2026, baada ya kujihakikishia ushindi katika mechi zao za raundi ya 28, ambapo zimezifanya kufikisha pointi ambazo...
Dili iliyokufa - 12 ILIPOISHIA Siku iliyofuata baada ya Wakwetu kuondoka nyumbani kwenda kazini kwake, Sharifa naye alitoka. Alikodi teksi iliyompeleka Kwaminchi kwa mwanawe. Alimkuta majaliwa akijiandaa kwenda...
Malindi yakubali yaishe Ligi Kuu Zanzibar MENEJA wa timu ya Malindi, Ramadhan Sanga amekubali yaishe kwa timu yake kushuka daraja msimu huu huku akisema wana mikakati madhubuti ya kurejea Ligi Kuu Zanzibar (ZPL). Amesema wanakwenda...
Pemba inavyonawiri na viwanja vya kisasa UNAWEZA kusema kwamba zile dhana na imani za kuwa Pemba haiwezi kujengwa, hususan kwa upande wa michezo, kwa sasa mambo yamekuwa tofauti na matarajio ya kila mmoja. Kati ya kundi la watu 100...
Chipukizi, New Kings bado zina nafasi ZPL USHINDI wa bao 1-0 wa Polisi dhidi ya Chipukizi katika mchezo wa Ligi Kuu Zanzibar uliochezwa Uwanja wa Gombani, Pemba, umeongeza presha kwa Chipukizi na New Kings katika vita vya kujiokoa...
Mkenya kulamba dili jipya Pamba Jiji MABOSI wa Pamba Jiji wameanza mchakato wa kumuongezea mkataba mpya mshambuliaji wa kikosi hicho, Mkenya Mathew Momanyi Tegisi baada ya kuridhishwa na kiwango chake tangu amejiunga na timu hiyo.
Arsenal yamkomalia beki wa PSG Mbemba Arsenal wameanza mawasiliano ya kumshawishi beki wa Paris Saint-Germain, Emmanuel Mbemba, kujiunga nao kwa uhamisho wa bure msimu huu.