PRIME Kishindo cha Kimbunga Hidaya Upepo mkali ulivuma usiku kucha wa jana na leo asubuhi maeneo ya Dar es Salaam, Lindi, Mtwara na Pwani hususan Kisiwa cha Mafia na inadaiwa nyumba 30 hadi 50 zimeathiriwa
Kasi ya ACT Wazalendo na tathmini ya miaka 10 ijayo Chama hicho kilianzishwa Mei 5, 2014 chini ya uenyekiti wa Anna Mghwira, ambaye Machi 4, 2021 aliteuliwa kuwa mkuu wa mkoa kisha kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM), ikiwa ni miaka mitatu tangu...
PRIME Faida, hasara kwa wanandoa kuchunguzana Daktari bingwa wa uzazi na wanawake, Abdul Mkeyenge anasema kuna vitu vingi kwenye uhusiano ambavyo kama wanandoa wasipokuwa makini ni changamoto hata kwenye afya ya uzazi
Wakazi wa Kiponzelo marufuku kuanzisha vilabu bubu nyumbani Baadhi ya wakazi wa Kiponzelo wamesema ni mazoea kwao kunywea pombe nyumbani
Madiwani CCM, maofisa ushirika wadakwa wakidaiwa kuuza tumbaku kwa kangomba Akihitimisha hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2024/25 jana usiku Ijumaa, Mei 3, 2024, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema alimshukuru mkuu wa Mkoa wa...
Usafiri wa boti Dar- Z’bar, vivuko vyasitishwa, TMA yatoa taarifa Kimbunga Hidaya kinatarajiwa kuendelea kusogea karibu zaidi na ukanda wa pwani ya Tanzania huku kikipungua nguvu yake taratibu kuelekea usiku wa kuamkia kesho Mei 5, 2024
Ni mkesha wa nderemo, vifijo ikisubiriwa ACT- Wazalendo izaliwe ACT- Wazalendo ilizaliwa Mei 5, 2014 na usiku wa kuamkia kesho Jumapili kitatimiza muongo mmoja wa tangu kuzaliwa kwake
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 20 ya Poland ndani ya Umoja wa Ulaya Leo, Mei Mosi, Poland inaadhimisha miaka 20 tangu ilipojiunga na Umoja wa Ulaya (EU) mwaka 2004. Kipindi hicho, ilipokea kundi kubwa la nchi 10 za Ulaya Mashariki na Kati, ikiwemo Poland ambazo...
Uzalishaji korosho wapaa, sababu zatajwa Louis Kolumbia, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Uzalishaji wa korosho umepanda kwa tani 115,900, kutoka 189,114 zilizozalishwa msimu wa 2022/23 hadi tani 305,014 katika...
Ipswich yarudi EPL baada ya miaka 22 Kiu ya miaka ya 22 ya Ipswich Town kushiriki Ligi Kuu ya England imeisha rasmi leo baada ya timu hiyo kupanda daraja kufuatia ushindi wa mabao 2-0 iliopata nyumbani mbele ya Hudderfield Town.
Ramadhani Brothers ndani ya mlima kilimanjaro Washindi wa ‘American Got Talent’, The Ramadhan Brothers wametimiza lengo lao la kupanda na kufika kileleni katika Mlima Kilimanjaro wakiwa na Tuzo yao ya ushindi waliyoipata nchini Marekani.
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Hii ndiyo elimu itakayokomesha ajira zinazodhalilisha Watanzania nje Kuna uwezekano mkubwa wa kuzuia Watanzania kudhalilika nje, ikiwa mfumo wa elimu utawawezesha kuwa na uwezo wa kujiajiri au kurandana na mahitaji ya soko.