PRIME Huduma nyeti za intaneti zilivyosimama Suala la satelaiti linaungwa mkono na wengi hususani watumiaji kuwa linaweza kuwa suluhu ya changamoto ya mtandao iliyojitokeza kama kuwapo huduma ya mtandao wa intaneti iliyotaka kuanzishwa na...
Utafiti changamoto nguvu za kiume waja Amezitaja tafiti hizo ni magonjwa yasiyo yakuambukiza ikiwemo saratani, ufuatiliaji wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa na utafiti juu ya changamoto ya afya ya akili.
PRIME Maswali yalivyowavuruga wagombea Chadema Mtia nia mwingine wa nafasi ya uhazini amesikika akiwasimulia wagombea wenzake aliulizwa namna fomu yake alivyoijaza ilikuwa tofauti na wajumbe wengine (alijaza kwa lugha ya Kiingereza).
Upimaji magari wa lazima mbioni kuanza Mbunge huyo amesema nyakati za asubuhi, askari wa usalama barabarani wamekuwa wakifanya ukaguzi wa magari wa kushtukiza ambao unafanya msongamano wa vyombo hivyo vya usafiri hasa katika maeneo...
Tanzania ina uhaba wa wataalamu dawa za usingizi, ganzi 1,200 Mpaka sasa nchi ina madaktari bingwa wa dawa za usingizi na ganzi 85 pekee, licha ya kuwa na vituo vya afya vya umma 9,610.
Chungu na tamu ongezeko la maji Ziwa Victoria, Tanganyika Hii ni baada ya wavuvi zaidi ya 100,000 mkoani Kigoma kudaiwa kuathirika na ongezeko hilo huku kaya 214 za Muleba Mkoa wa Kagera zikikosa vyoo.
Chungu na tamu ongezeko la maji Ziwa Victoria, Tanganyika Hii ni baada ya wavuvi zaidi ya 100,000 mkoani Kigoma kudaiwa kuathirika na ongezeko hilo huku kaya 214 za Muleba Mkoa wa Kagera zikikosa vyoo.
Jamii yahamasishwa ushiriki Mwenge wa Uhuru Mbio za mwenge zinaelimisha na kuhamasisha jamii ya Watanzania kuzingatia lishe bora, mapambano dhidi ya rushwa, mapambano ya VVU na dawa za kulevya
Mambo matatu kuwakutanisha Chadema Dar kesho Uchaguzi wa kanda hizo za awali, umekuwa na mvutano, hususan Kanda ya Nyasa na kuna wagombea wawili maarufu wanaochuana ambao ni mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na...
Bei ya ufuta yafurahisha wakulima Amesema kuwa katika msimu uliopita alivuna tani 4.3 ambapo aliuza kwa Sh4,000 na mwaka huu ana matumaini kupata zaidi ya mavuno ya awali .
Yanga yachukua ubingwa wa tatu mfululizo Ligi Kuu Hii ni mara ya tatu mfululizo kwa Yanga kutwaa taji la Ligi Kuu baada ya kuchukua katika misimu ya 2021/2022 na 2022/2023.
Nancy Sumari afichua siri alivyoshinda Umiss Tanzania Miss Tanzania mwaka 2005, Nancy Sumari amesema kuwa baba yake Edward Sumari (71) alimpa sapoti kubwa katika kuyafikia mafanikio hayo.
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mambo matano ya kufanya unapokutana tena na mpenzi uliyeachana naye Dakika chache za kwanza tunapokutana na wapenzi wetu baada ya kuachana kwa kitambo kifupi zina umuhimu.