Hidaya apoteza nguvu baada ya kuingia Mafia "Taarifa hii inahitimisha mfululizo wa taarifa wa kilichokuwa kimbunga Hidaya zilizokuwa zikitolewa na TMA tangu Mei 1, 2024, mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa inaonyesha kuwa katika kipindi cha...
Safari za baharini zarejea kimbunga Hidaya kikipoteza nguvu "Tulikuwa bado tunaangalia hali ikoje lakini kwa sasa tumeona imetulia na tumeruhusu safari ziendelee kama kawaida, kwa hiyo kuna boti inaenda Dar es Salaam na meli inaondoka kwenda Pemba," amesema.
PRIME Faida, hasara kwa wanandoa kuchunguzana Daktari bingwa wa uzazi na wanawake, Abdul Mkeyenge anasema kuna vitu vingi kwenye uhusiano ambavyo kama wanandoa wasipokuwa makini ni changamoto hata kwenye afya ya uzazi
Wakazi wa Kiponzelo marufuku kuanzisha vilabu bubu nyumbani Baadhi ya wakazi wa Kiponzelo wamesema ni mazoea kwao kunywea pombe nyumbani
Madiwani CCM, maofisa ushirika wadakwa wakidaiwa kuuza tumbaku kwa kangomba Akihitimisha hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2024/25 jana usiku Ijumaa, Mei 3, 2024, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema alimshukuru mkuu wa Mkoa wa...
Ni mkesha wa nderemo, vifijo ikisubiriwa ACT- Wazalendo izaliwe ACT- Wazalendo ilizaliwa Mei 5, 2014 na usiku wa kuamkia kesho Jumapili kitatimiza muongo mmoja wa tangu kuzaliwa kwake
Safari za baharini zarejea kimbunga Hidaya kikipoteza nguvu "Tulikuwa bado tunaangalia hali ikoje lakini kwa sasa tumeona imetulia na tumeruhusu safari ziendelee kama kawaida, kwa hiyo kuna boti inaenda Dar es Salaam na meli inaondoka kwenda Pemba," amesema.
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 20 ya Poland ndani ya Umoja wa Ulaya Leo, Mei Mosi, Poland inaadhimisha miaka 20 tangu ilipojiunga na Umoja wa Ulaya (EU) mwaka 2004. Kipindi hicho, ilipokea kundi kubwa la nchi 10 za Ulaya Mashariki na Kati, ikiwemo Poland ambazo...
Uzalishaji korosho wapaa, sababu zatajwa Louis Kolumbia, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Uzalishaji wa korosho umepanda kwa tani 115,900, kutoka 189,114 zilizozalishwa msimu wa 2022/23 hadi tani 305,014 katika...
Ratiba ya Ligi Kuu ilivyokuwa shubiri kwa ‘vibonde’ Timu nne zinazoshika mkia kwenye msimamo wa ligi zinakabiliwa na mechi za mtego za kumalizia msimu ambazo zinalazimisha kila moja kuchanga vyema karata zake ili iweze kukwepa janga la kushuka...
Ramadhani Brothers ndani ya mlima kilimanjaro Washindi wa ‘American Got Talent’, The Ramadhan Brothers wametimiza lengo lao la kupanda na kufika kileleni katika Mlima Kilimanjaro wakiwa na Tuzo yao ya ushindi waliyoipata nchini Marekani.
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Hii ndiyo elimu itakayokomesha ajira zinazodhalilisha Watanzania nje Kuna uwezekano mkubwa wa kuzuia Watanzania kudhalilika nje, ikiwa mfumo wa elimu utawawezesha kuwa na uwezo wa kujiajiri au kurandana na mahitaji ya soko.